Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Anauhakika huyo jamaa bado yumo kwenye group hajaleft?
 
Ilikuwa na mate mazito tu
 
Mwambie aache ujinga skuizi hakuna mboo za mchezo mchezo
 
Dah nimemkumbuka dada fulani mwaka 2009 wakati nakaa hostel x huku nikisoma chuo x.Kuna jamaa nilikuwa nakaa nae chumba kimoja hapo hostel alikuwa ana marafiki wengi wa kike,ni marafiki tu si mademu zake,hao marafiki zake walikuwa wanapenda sana kuja mle room kwetu,siku moja usiku kama saa 1 nipo zangu mle room najisomea akaja mmoja wa marafiki zake lakini mshikaji(roommate) wangu hakuwepo yule mdada(so*) alipoingia mle akanikuta akaniuliza b** (roommate wangu) yuko wapi nikasema hayupo,akanisogelea nilipo akaniambia ananipenda akaniambia nisimame huku ananigusa hapa na pale na kuniuliza kuhusu demu wangu sijakaa vizuri lips zake zimeshazifikia zangu akaanza kufanya yake ikabidi tu nitoe ushirikiano japo nilishangazwa
 
Mwambie aandae 20 aje DM nikisomo tuuu hata Kikwette hachomoi shart aplay voice utakayomtumia au uongee naye live
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…