Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hapa itakuwa ni sawa na "Supu Kulitia Nazi"
 
Mi ni mwanaume.

Kwa uelewa wangu hapo jamaa pia anatafuta timing za kuingia.

Naona watu wanasema sijui ataonekana kicheche. Siyo kweli, wanaume pia tunatamani kujua tunavutia mtu, so kama una guts maliza.

Hauna guts.
Mtumie picha za nguo muombe ushauri uvae ipi. Do this for five days.

Kisha kula bati.

Ona mchizi atavyokuja na spidi, in fact katikati ya kukuchagulia nguo atataka akuchagulie pants (if he can read between the lines)
 
Hii njia nzuri [emoji3]
 
Us
Ushaur kwa wadada. Olewa na mtu anaekupenda sio unaempenda utakuja kujuta sana mbeleni.
 
Basi asiogope kuonekana kicheche πŸ˜‚ kama ameubeba ukicheche enewei hataki mume au ndio anasubiri mrefu mweusi
 
Kuna wanaume ukiwatongoza inakuwa ndiyo kibwagizo kwenye wimbo 🀣🀣🀣
Unawatongoza wa nini, wakati wanaume wenyewe siku hizi hatutongozi , tunachombeza TU..
Anamtoaje out na wanawasiliana tu kwa simu sio kwamba wako eneo moja? Anaanzaje kumwambia wakanywe bia na hata hajui kama anakunywa au la? Mtihani
Labda atuambie kwenye simu wanachati nini, maana kupitia chatting waweza mfaham viziri mwenzio, mkapanga mipango, ikabaki utekelezwaji.
 
Wanachat kazi, wako profession moja na same sector so updates na kadhalika. Kampuni zao pia ni kampuni rafiki so kuombana ushauri hapa na pale on how to handle things. Socially sio sana, ni kumcheck tu hujambo, au jokes za hapa na pale but sio sexual au romantic jokes. Akiweka picha ya chakula anamwambia maybe "kumbe hujafunga bwana"....vitu kama hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…