Mtihani.Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
mpe iyo mbinu ataliwa vizuri SanaaSio mtakatifu, ila sio kicheche. Niamini mimi
Pia sio mrembo kama Tyla wa South Africa ila ni pisi na shepu ipo.
Kwanini anataka ku force mambo? Haoni kwamba anataka kujikaanga na mafuta yake mwenyewe? Kama huyu mwanaume amempenda, basi kuna siku atamwelezea kila kitu. Pengine bado anampima ili aone kama ametulia, ana ma-boy friend wengine nk. Au pengine hampendi kabisa ila anamwona kama rafiki wa kawaida tu. Au pengine huyo mwanaume hajamkubali kwa asilimia zote hivyo anakosa motisha wa kusema chochote. Kulazimisha chochote kwenye hali kama hii matokeo yake yatakuwa siyo mazuri.Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana. Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Tatizo pisi mbovu huvutii ndio maana jamaa anakukwepa, ukiona mwanaume anafikia hatua hakutii maneno ya mvuto ujue hufai tena...Karibu JF mkuu. Viatu tunavuaga palee
DAAAAH nimecheka kifala sanaKicheche anataka aonekane sio kicheche..
Mwambie amwite kwake alafu avue nguo ampikie chakula akiwa na kanga moko jamaa asipokula basi waunganishe undugu tu hakuna namna..
Nb. labda pisi ni mbovu
Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Sisi wanaume hua hatutangazi labda kama huyo bwana ana elements za kikeAsichoogopa ni asije akamtangaza. Hawako ofisi moja ila sector ile ile na watu ni wale wale.
Amtangaze? 😂 hamna, hawezi fanya hivyo.Asichoogopa ni asije akamtangaza. Hawako ofisi moja ila sector ile ile na watu ni wale wale.
🤣🤣🤣🤣🤣 DeepPond ni maarufu sana mitaa hii saabu ya mama j anayemtawazia mwanae madekio gghaaiiiMawasiliano
Awasliane nae mara nyingi zaidi huku akimuulizia vitu sensitive
Mawasiliano yao yawe ya usiku mara nyingi
(Mm nikiona mdada anawasiliana na mm mara nyingi zaidi, it means she has no one...na hyo inanipa chance ya kumtongoza. It happened to me twice, na hata haikuwa ngumu)
Zawadi + outing
Ampatie zawadi sensitive kama boksa, mkanda, vest...huku akichombeza Kwan maneno, I wish to see ilivyokutoa [emoji23][emoji23]
Hapo hata DeepPond atafikiria kuongeza mchepuko mwingine tofauti na mama J [emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mko moto🔥 sana siku hizi.Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Seems vitu vidogo sana kwako hivi???Hapo akisifiwa, ye akireply aanze kutupia na tu kopa mixer tu emoj mbali mbali tunako hamasisha. Easy tu, uwaga hawakatai hao watu.
Kuna huyo niliyejifunzia enzi hizo za miaka ya TANU😂
Nilimchanaga Akajibu …. Depal, I’m married.
Nikamuuliza.. kwani ukija unakuja na mke wako?
Akaniuliza unatumia bangi ya wapi nikuletee? 🤣🤣
Nikamwambia cha hapo tu jirani mjini Nairobi 😛😛…
Basi ngoma ya Shenseea ikawa completed.
“You think you coulda get inna my feelings? (Nah)
You couldn't get me fi sekkle down?
Me give you a hit and run..