Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

kama hauamini wape offer ya sex vidume watano tu kwenye simu yako halafu uone wangapi watasema hapana. Just andika tu...

"Chris nina nyege balaa leo, pls kama uko free njoo unipe joto mwenzio nahisi baridi"
Upo sahihi unachokisema bas wacha tungoje mrejesho wa mtoa mada[emoji16]
 
Hata mi siwezi, uzuri kipindi hicho nilikuwa nikimpenda tu mkaka na yeye ananipenda, hivyo sijawahi sumbuka...
Hahahahaha ukimpenda anakupendaje tu bila kumpa signals.

Kuna mambo ulikuwa unayafanya aidha kwa kujua au kutokujua na ndio yaliwapa alert kuwa upo ready ku click nao thus why walikuwa wanakubless plus ile haiba na mvuto wa kike.
 
Mbona tayari kashaonesha ukicheche wake?
 
Hahahah hamna kijana anakataa offer ya mbunye, thats one in a million chances ndio inakuwa denied.
Sema wanawake akikutaka aisee wanakuaga ving'ang'anizi balaa kuliko ata sisi wanaume. Yaani hata ufanye nini lazima tu atakula mzigo hawezi kukubali 😄😄

Nadhani kitendo cha mwanamke kumtaka mwanaume halafu akakataliwa hua kinamfrustrate sana kuliko sisi wanaume tukikataliwa tunachukulia poa tu.
 
Hahahahaha ukimpenda anakupendaje tu bila kumpa signals.

Kuna mambo ulikuwa unayafanya aidha kwa kujua au kutokujua na ndio yaliwapa alert kuwa upo ready ku click nao thus why walikuwa wanakubless plus ile haiba na mvuto wa kike.
Nafikiri ni vile nilivyokuwa na kamuonekano Fulani hivi kama Unique Flower ndo maana walikuwa hawachomoi..

Joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…