Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Unaweza ukawa uko sahihi kabisa. Mimi ni mwanaume hivyo najua. Kama unampenda msichana ki-haswa na huyo msichana mnakuwa wote mara kwa mara, na anakuonyesha positive response kwa namna yoyote basi ni lazima utataka kuwahi kumtaka urafiki kabla hajawahiwa na wengine. Mwanzisha thread mwambie huyo rafiki yako afanyie mtihani mdogo sana huyo mwanaume. Wanapokuwa wapokutana huyo dada amwambie nina haraka nakwenda kumuwahi boyfriend wangu ananisubiri, halafu aone ata-respond namna gani.
Thing is hawakutani. Walikutana kwenye tukio la kazi kama a year ago, exchanged contacts na tangu hapo walionana tena mara moja kwenye event nyingine ya kazi ila almost daily anamsalimia tu. Au anamuuliza issue za kazi via email baasi. One day aliweka status picha yuko beach alimuuliza “uko wapi?” Akamwambia alipo eti akamjibu “umependeza, enjoy”. Ndo nini sasa. Wanaume sometimes mnazingua.
 
Yani hizo taarifa za meseji hadi wewe unazo 😂 na bado unajikana humu😅
 
Sasa uniambie unamuwahi boyfriend wako kweli hata kama nilikuwa na mpango huo kwa 40% ndio nakacha kabisa
Kwangu mimi nadhani tena ndiyo itakuwa powa. Japo mwanzisha thread amesema hajali hata kama atakuwa wa hit and run, lakini kwangu naona anaongozwa na tamaa na siku zote tamaa mbele mauti nyuma. Bila kujua ni kwa nini huyo mwanaume anasitasita ni kujiingiza kwenye hatari au kudhalilishwa utu pasi na sababu.
 
Back
Top Bottom