The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa hiyo unakusudia kusema hata katiba ya libiya ya gadafi ni ya kupigiwa mfano iliyomuweka madarakani Kwa miaka 40?Libya ambayo kila siku mnaisifia humu ilifika pale sababu ya mabadiliko ya uongozi wa nchi ambayo Gadaffi aliyaita "Revolution"
Gadaffi alibadili katiba kwa kuja na The green book
Mfano serikali imeleta tozo kama chanzo Cha Mapato kwenye bajeti.Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba...
Acheni upotoshaji, katiba mpya haija contain ubora wa maisha kwa wananchi tu bali inajenga mustakabali mpya wa Taifa na muongozo thabiti kwa maendeleo ya nchi. Acheni ujinga wa kusema katiba mpya haikuletei chakula nyumban shubaamit!Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.
Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk
Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk
Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.
Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Anasema lengo lake huo mfumo wake ungefikia hatua ya juu kabisa basi binadamu wasingekuwa interested na material things na hivo pesa isingekuwa inatumika na hivo watu wasingehitaji pesaHuyu alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kutumia akili zake vizuri.
Katika hili sitaki kutoa maoni yangu,nimeweka hapo link ya Green book,isome alafu linganisha na maendeleo waliyofikia Libya wakati wa Gadaffi utapata opinion yako mwenyeweKwa hiyo unakusudia kusema hata katiba ya libiya ya gadafi ni ya kupigiwa mfano iliyomuweka madarakani Kwa miaka 40?
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.
Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk
Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk
Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.
Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Hili ni jibu tosha !Libya ambayo kila siku mnaisifia humu ilifika pale sababu ya mabadiliko ya uongozi wa nchi ambayo Gadaffi aliyaita "Revolution"
Gadaffi alibadili katiba kwa kuja na The green book
Mkuu unaweza kutusaidia kutuwekea hapa hivyo vifungu na namna vinavyosababisha gharama kupanda kuliko hivi unavyotaja jumlajumla.Mkuu wayajua haya kwenye katiba yetu:
1. Katiba iliyopo haiwawajibishi baadhi ya watendaji wakuu kwa kuikiuka, na hii ni kwa mujibu wa katiba yenyewe?
2. kwa katiba iliyopo pana watu hata kama wakiiba, wakipora, wakiuwa, wakidhulumu nk hiyo ni halali kwa mujibu wa katiba yenyewe?
3. katiba iliyopo inawapa baadhi ya watu mamlaka ya kujifanyia lolote bila kuhojiwa au hata kuwajibishwa tu?
4. Katiba iliyopo haitoi haki sawa kwa watu wote ndani ya nchi?
5. Kuna mianya mingi katika katiba hii ambayo inaweza kuifanya mihimili mingine hata kupoteza uhuru wake wa kiutendaji kwa mujibu wa katiba yenyewe?
6. Kuna utitiri wa nafasi za uongozi wasio na tija wala ridhaa ya wananchi ambao pia ni mzigo mkubwa kwa mlipa kodi?
7. Kuna rundo kubwa la vigogo wasio na tija na wasiolipa kodi wanaopata uhalali tokea katika katiba yenyewe?
8. Nk, nk.
Kimsingi ndiyo maana Hata pesa zetu zaishia China Kwa mujibu wa katiba.
Huoni tukiwa na mpya mapungufu kama haya tukayaziba tutaweza kupiga hatua?
Mkuu unaweza kutusaidia kutuwekea hapa hivyo vifungu na namna vinavyosababisha gharama kupanda kuliko hivi unavyotaja jumlajumla.
Ujinga wa baadhi ya watanzania ni mkubwa sana na wewe ukiwemo! Katiba ni mwongozo wenye taratibu na kanuni za kutenda yote katika nchi. Kama hakuna miongozo na sheria nzuri hatuwezi kuendelea. Mfano katiba iliyopo inamruhusu rais kuamua yeye mwenyewe kupeleka fedha pale apendapo na ndiye mwamuzi wa mwisho. Tumeona jinsi jambo hili lilivyotutia hasara kwa rais kutumia mwanya huu kufanya maamuzi mabaya.Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.