Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

Sasa umekosa hoja unaanza kubwabwaja tu, 😂 swali gumu kulitolea maelezo au sio?

Unashindwa kuandika essay hata yenye paragraph 2 tu ukielezea umuhimu wa katiba mpya kwa mwananchi anaeishi below poverty line, sasa utamshawishi vipi kuhusu katiba mpya akakuelewa?

Katiba mpya: vigogo wezi wasiowajibika kwa wizi wao hawatakuwapo:

FnzAtagX0AIXEAW.jpeg

Katiba mpya: vigogo dhulumati wasiowajibika kwa dhuluma zao hawatakuwapo:

Screenshot_20230205-144352.jpg

Katiba mpya: mzigo wa vigogo walamba asali wasiolipa kodi hautakuwapo:

Fnn4deYWYAE-Pmf.jpeg

Yako mengi muda mchache.

Habari ndiyo hiyo.
 
Katiba mpya: vigogo wezi wasiowajibika kwa wizi wao hawatakuwapo:

View attachment 2508174

Katiba mpya: vigogo dhulumati wasiowajibika kwa dhuluma zao hawatakuwapo:

View attachment 2508172

Katiba mpya: mzigo wa vigogo walamba asali wasiolipa kodi hautakuwapo:

View attachment 2508177

Yako mengi muda mchache.

Habari ndiyo hiyo.
Brother brother brother nimekuita mara 3, jibu swali langu sio unaniletea ngonjera hakuna mtu anaeishi below poverty line anaeweza kulipa million 30 ili mumewe atolewe jela, hakuna

Ushanielewa sijui
 
Pole sana. Ila peleka mrejesho Kwa maana tumedhamiria kweli kweli. Tunachokitaka tunakijua, kwanini tunakitaka tunajua na namna gani tutakipata tunajua.

Bottom line:

"Mtaleta hesabu za wote na wapi mliwapeleka wakiwamo kina Ben, Azory, Lijenje na nani mliwasokomeza kwenye viroba."

Wewe tumemalizana.
 
Sasa katiba ikisema lazima watoto wanahudumiwa na serekali hapo si tayari garama ya maisha imeshuka?
Ikisema Wazee walipwe posho nayo vipi? Maisha si yatakuwa nafuu?
Haya ikisema walio na uwezo wa kufanya kazi kuanzia miaka 18+ na hawana ajira serekali inawajibika vipi hapo maisha si yatashuka?

Mimi naamini katiba ikiwa nzuri na inafuatwa maisha yatashuka
 
Pole sana. Ila peleka mrejesho Kwa maana tumedhamiria kweli kweli. Tunachokitaka tunakijua, kwanini tunakitaka tunajua na namna gani tutakipata tunajua.

Bottom line:

"Mtaleta hesabu za wote na wapi mliwapeleka wakiwamo kina Ben, Azory, Lijenje na nani mliwasokomeza kwenye viroba."

Wewe tumemalizana.
Wewe eleza new constitution itasaidiaje mtu anaeishi below poverty line, huna maelezo kaa kimya ujitunzie heshima yako sio unabwatuka bwatuka tu
 
Achilia mbali nguvu ya wananchi kuhoji jambo
Kuna mihimili inakosa nguvu ya kuhoji mihimili mingine mfano kilichomkuta ndugai kinaonyesha jinsi gani muhimili aliyokuwepo nidhaifu
Katiba mpya haitoleta chakula mezani ila itafungua njia ya kukifata chakula na kukileta mezani
 
Hakuna mtu anayeingia JF na hasa kuanzisha na/au kushiriki mijadala ya Jukwaa la Siasa asiyeelewa maana na umuhimu wa katiba kiasi cha kuuliza swali la chini kabisa (on basics) kama la hii mada.

Ni dhahiri kuwa sala la katiba mpya makini ni “chukizo” kuu kwa makundi ya kimafia ndani ya CCM. Hivyo, wamesambaza chawa na wanapropaganda kila Kona kupotosha, kuvuruga hata kujaribu kuanzisha mijadala ya ki-“intellectual” ili kuwachepushia wadau wanaoonekana kuwa makini katika mizunguko ya midahalo isiyo na mantiki wala mwisho!

Well guys, continue enjoying the endless joyride!😁
 
Acheni upotoshaji, katiba mpya haija contain ubora wa maisha kwa wananchi tu bali inajenga mustakabali mpya wa Taifa na muongozo thabiti kwa maendeleo ya nchi. Acheni ujinga wa kusema katiba mpya haikuletei chakula nyumban shubaamit!
Je na italeta wafanyakazi wapya???
 
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.

Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk

Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk

Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.

Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Wee mburula watu hawadai katiba kwa ajili ya kushusha gharama za maisha!

Katiba ni kwa ajili ya utawala bora, haki za binadamu na Uhuru!

Umepewa ubongo kwa ajili ya kufikiri na siyo kuwa chawa!
 
1. Ukubwa wa madaraka ya Rais. tamko au matakwa ya Rais ni amri hii kwa sababu ya ukubwa wa madaraka yake ivyo akitoa tamko ambalo lipo kinyume na kanuni za kiuchumi inaweza ikapelekea kuongezeka sana au kupanda kwa bei ya bidhaa mfano kipindi cha magufuri aliingilia kati suala la korosho matokeo yake soko lilivurugika na kupelekea wakulima kupata hasara, alitumia approach za kibabe sana kushughulika na wawekezaji tukaona watu walifunga biashara, pia mwanzoni mwa uongozi wake alitoa tamko kuhusu sukari tuliona bei ya sukari ilipanda sana, mambo kama hayo yanasababisha ugumu wa maisha kwa mwananchi kama kungekua na namna ya kumpiga break Rais asiingilie kila kitu uenda hali ingekua nzuri

2. Tume huru ya uchaguzi. Inapokosena tume huru maana yake kuna uwezekano wa kupata viongozi wasiokua na uwezo ilmradi tu wawe na connection na mamlaka, hii itapelekea viongozi kubweteka wakijua hata wakiboronga uchaguzi ukija watapita tu hata kwa bao la mkono matokeo yake wanafanya maamuzi bila kujari hali za wananchi mfano kuongeza tozo, kodi kandamizi n.k. Kungekua na tume huru wangeumiza vichwa kuja namna nzuri ya kushughulikia matatizo bila kuumiza wananchi maana wangejua wakialibu baada ya miaka mitano watahukumiwa kwenye sanduku la kura
Umemjibu vizuri sana, asipokuelewa basi atakuwa kilaza na punguani
 
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.

Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk

Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk

Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.

Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
PUMBAVU! Katiba inaweka viongozi/taasisi imara/makini yenye uwajibikaji ambyo itapelekea kuondoa mambo ya ovyo kama hayo
 
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.

Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk

Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk

Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.

Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Kazi ya katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa.
Kazi nyingine kuu ni kutoa mwongozo wa upatikanaji wa haki na pili ni muongozo kwa viongozi namna ya kusimamia na kulinda rasilimali za nchi.

Hizo mnazoongekea ni longolongo.
 
Kama unawaza sawasawa hili swali huwezi kuuliza, either unazingua au we ni mtoto
 
Katiba... Tupiganie kuipata kwanza. Baadhi yetu tutayajua manufaa yake hapo ikishapatikana.
 
Wee mburula watu hawadai katiba kwa ajili ya kushusha gharama za maisha!

Katiba ni kwa ajili ya utawala bora, haki za binadamu na Uhuru!

Umepewa ubongo kwa ajili ya kufikiri na siyo kuwa chawa!
FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
1. Ukubwa wa madaraka ya Rais. tamko au matakwa ya Rais ni amri hii kwa sababu ya ukubwa wa madaraka yake ivyo akitoa tamko ambalo lipo kinyume na kanuni za kiuchumi inaweza ikapelekea kuongezeka sana au kupanda kwa bei ya bidhaa mfano kipindi cha magufuri aliingilia kati suala la korosho matokeo yake soko lilivurugika na kupelekea wakulima kupata hasara, alitumia approach za kibabe sana kushughulika na wawekezaji tukaona watu walifunga biashara, pia mwanzoni mwa uongozi wake alitoa tamko kuhusu sukari tuliona bei ya sukari ilipanda sana, mambo kama hayo yanasababisha ugumu wa maisha kwa mwananchi kama kungekua na namna ya kumpiga break Rais asiingilie kila kitu uenda hali ingekua nzuri

2. Tume huru ya uchaguzi. Inapokosena tume huru maana yake kuna uwezekano wa kupata viongozi wasiokua na uwezo ilmradi tu wawe na connection na mamlaka, hii itapelekea viongozi kubweteka wakijua hata wakiboronga uchaguzi ukija watapita tu hata kwa bao la mkono matokeo yake wanafanya maamuzi bila kujari hali za wananchi mfano kuongeza tozo, kodi kandamizi n.k. Kungekua na tume huru wangeumiza vichwa kuja namna nzuri ya kushughulikia matatizo bila kuumiza wananchi maana wangejua wakialibu baada ya miaka mitano watahukumiwa kwenye sanduku la kura
Nimekuelewa vizuri... Asante
 
Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.

Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk

Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk

Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.

Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Umeanzisha mjadala kisha umeufunga kwa kutoa uamuzi wako.
 
Back
Top Bottom