Sasa umekosa hoja unaanza kubwabwaja tu, 😂 swali gumu kulitolea maelezo au sio?
Unashindwa kuandika essay hata yenye paragraph 2 tu ukielezea umuhimu wa katiba mpya kwa mwananchi anaeishi below poverty line, sasa utamshawishi vipi kuhusu katiba mpya akakuelewa?
Katiba mpya: vigogo wezi wasiowajibika kwa wizi wao hawatakuwapo:
Katiba mpya: vigogo dhulumati wasiowajibika kwa dhuluma zao hawatakuwapo:
Katiba mpya: mzigo wa vigogo walamba asali wasiolipa kodi hautakuwapo:
Yako mengi muda mchache.
Habari ndiyo hiyo.