Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

Yapo maeneo mengi ambayo watu huomba kazi kwa kuzingatia vigezo vyote hata hivyo wanaharibu na pia Kuna watu wamepatikana kwa kuteuliwa wamefanya kazi nzuri sana
 
Hao ni chawa timu sifia sifia
 
Umenena !
 
Acheni upotoshaji, katiba mpya haija contain ubora wa maisha kwa wananchi tu bali inajenga mustakabali mpya wa Taifa na muongozo thabiti kwa maendeleo ya nchi. Acheni ujinga wa kusema katiba mpya haikuletei chakula nyumban shubaamit!
Mashaka yangu mengine ni kwamba Kuna watu hudhani kaitiba mpya watakaa wapinzani wataipendekeza na kuipitisha jambo ambalo ni dhana potofu.
Kwa kumbukumbu zangu hata mchakato uliokwama bado ulikuwa na kura za uamuzi ambapo bado watu wenye wajumbe wengi bado waptapenyeza hoja zao.
Napendekeza tuwekeze nguvu nyingi kutoa elemu ya uraia ili raia wa kawaida wapate uelewa mkubwa kuhusu mambo ya katiba kuliko kutoa maneno ya ulaghai
 
Yes upo sahihi ✔️✔️✔️
 
Wakikujibu nipe taarifa
 
unatia aibu sana.
katiba yako inaweza kumuadabisha kiongozi anapofanya kosa au uzembe tuanze hapo.kichwa chako cha maji taka
 
unatia aibu sana.
katiba yako inaweza kumuadabisha kiongozi anapofanya kosa au uzembe tuanze hapo.kichwa chako cha maji taka
Mi nadhani inaweza ingawa jambo kubwa hapa ni kwamba katiba sio kama shati unalovaa katiba ni muongozo wa Sheria zote za nchi bahati mbaya ni kwamba kuwapo huo muongozo ni jambo moja na kuutekeleza ni jambo lingine kabisa.

Ni wazi kwamba hata kwenye katiba iliyopo sasa Kuna mambo mengi mazuri yanakiukwa sana.
Na hata Kenya ambako wametengeneza katiba shirikishi bado vitendo vya ufisadi ni vikubwa pengine kuliko hapa kwetu.
Hata mimi ni muumuni wa katiba mpya ila tunapoitaka katiba mpya tujiangalie madhaifu yetu ya kijamii tuyatibu kwanza.
 
Safi sana.

Nitakuwa nakudanganya kuwa nina jibu lelote lile.....ila

Ninayoyaona...

....Majibu bado hayajitoshelezi.

Au Labda viroboto wa Mh. Tundu Lissu waje na matoroli ya Taarifa.
 
Haya yanapunguza wizi??? We jamaa huna akili. Tukubaki kwanza kuwa wazalendo na nchi yetu, kisha ndio tuanze huo utaratibu wa kurekebisha mapungufu ya kwenye maandishi ambayo hata usipofanya hayana madhara.

Ukipewa wewe hiko KITI UTATENDA HAKI?? HUTOIBA, HAUTOTAKA MASLAHI YAKO YAWE MBELE KENGE WEWE??
 
Tuliza mzuka mdogo angu unaweza kutumia lugha nzuri tu na ukaeleweka.. hakuna popote ambapo jamaa kasema ni vipi katiba mpya itapunguza wizi. Aliomba kuelezewa endapo vipengere vya ukubwa wa madaraka ya rais, tume ya uchaguzi na muungano vikirekebishwa ni kwa namna gani itasaidia kupunguza ukali wa maisha.. hakuna popote ambapo mtoa mada amehoji kuhusu uhusiano wa katiba na kutokomeza uwizi au kuwa mzalendo., soma vizuri post yake
 
Una uwezo mdogo sana !
 
Sema inampa mamlaka Rais mbon unajizungusha zungusha?
 
Huoni tukiwa na mpya mapungufu kama haya tukayaziba tutaweza kupiga hatua?
Onyesha itawawajibisha vipi hio katiba mpya

Mfano: Tunaweka kifungu akitokea waziri yoyote akatoa ahadi kwamba kuna mradi fulani ilifanyika utakua umeondoa kero ya wananchi maisha yao yote, na km mradi ukiwa kinyume na vile tulivyoahidiwa bwana waziri awajibishwe kwa kurudisha pesa zote alizozitumia kwenye mradi maana atakua amefanya wizi? Hapo vipi kofungu hicho kinakufaa?

Let say bwana February Marope kaahidi kwamba atafumua Gridi ya Taifa kwa Trillion 1 na baada kufumwa upya tusahau kuhusu kukatika katika kwa umeme nchi nzima hata kwa sekunde moja hakuna sehemu kutakua na giza 24/7 365, ikitokea umeme umekatwa popote alipo bwana February Marope awe kwenye uwaziri au asiwe kwenye uwaziri lazima awajibishwe kwa wizi wa Trillion 1, hapo unaonaje hio imenyooka au imepinda?
 

Tofautisha substance na details. Tambua katiba ya sasa Ina pages 43 za substance. Ikiwa details itakuwa je? Ndiyo maana hata PGO ni a valid legal document mradi haipingani na katiba ambayo ndiyo sheria mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…