mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki.
Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu.
Mimi ni mtu mzima niliye kwenye early 40s ila nimechelewa sana kusettle kwenye life kutokana na mitihani mingi sana iliyoanzia kwenye familia yetu, nilipoteza kila kitu kwenye maisha yangu so nataka kuanza upya kabisa.
Kwa sasa napiga kibarua nalipwa per day ni hela ya kutosha kula na nauli tu.
Naombeni mawazo yenu ni vipi naweza kuraise fund kwa ajili ya mtaji.
Mawazo yenu nitashukuru sana.