mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
Tengeneza business plan ya hiyo biashara yako kisha anza kutafuta wadau ili waweze kuwekeza kwenye hilo wazo lako. Nadhani hii ndio njia nzuri ya kurise capital.Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki.
Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu.
Mimi ni mtu mzima niliye kwenye early 40s ila nimechelewa sana kusettle kwenye life kutokana na mitihani mingi sana iliyoanzia kwenye familia yetu, nilipoteza kila kitu kwenye maisha yangu so nataka kuanza upya kabisa.
Kwa sasa napiga kibarua nalipwa per day ni hela ya kutosha kula na nauli tu.
Naombeni mawazo yenu ni vipi naweza kuraise fund kwa ajili ya mtaji.
Mawazo yenu nitashukuru sana.
Wewe mtakatifu unaangaika na mambo ya dunia ya Nini wewe siupo mbinguni hapo pembeni umekaa na Elia,mussa na nouh mnasifu na kuabudu au na uko mambo yamekuwa magumu sio raha tu kama hapo awali?Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki.
Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu.
Mimi ni mtu mzima niliye kwenye early 40s ila nimechelewa sana kusettle kwenye life kutokana na mitihani mingi sana iliyoanzia kwenye familia yetu, nilipoteza kila kitu kwenye maisha yangu so nataka kuanza upya kabisa.
Kwa sasa napiga kibarua nalipwa per day ni hela ya kutosha kula na nauli tu.
Naombeni mawazo yenu ni vipi naweza kuraise fund kwa ajili ya mtaji.
Mawazo yenu nitashukuru sana.
😅😅😅😅Tumia mbinu za kibepari ku acquare capital mkuu
(Fraud,robbery,Ponzi scheme et Al) Lasivyo utachakaa
Kuna age ikifika inabid kufanya ibo no mattaer what potelea mbali, akae na wazee wa kichaga asimuliwe umafia waoTumia mbinu za kibepari ku acquare capital mkuu
(Fraud,robbery,Ponzi scheme et Al) Lasivyo utachakaa
Viwanja vya SQM tsh 500 vinapatikana wapi huko bro?Ndio maana nasisitiza sana vijana tununue ardhi, hasa hivi plot za miradi. Leo hii halmashauri na manispaa nyingi zina viwanja vya mradi ambavyo vipo hadi vya SQM 1 Tsh. 500, vijana tununue asset hizi udogoni.
Mambo hupinduka
Pole mkuu una familia?? Biashara unayoitaka ni lazima ianze na kiasi hicho tu?? Haiwezi kuanza na kiasi kidogo ukawa unakuza kidogo kidogo?Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki.
Naamini nikipata kiasi hiko kitakuwa game changer kwenye maisha yangu.
Mimi ni mtu mzima niliye kwenye early 40s ila nimechelewa sana kusettle kwenye life kutokana na mitihani mingi sana iliyoanzia kwenye familia yetu, nilipoteza kila kitu kwenye maisha yangu so nataka kuanza upya kabisa.
Kwa sasa napiga kibarua nalipwa per day ni hela ya kutosha kula na nauli tu.
Naombeni mawazo yenu ni vipi naweza kuraise fund kwa ajili ya mtaji.
Mawazo yenu nitashukuru sana.
Currently nafahamu mradi wa Pingo Chalinze ambapo wanauza SQM 1 kwa Tsh. 800.Viwanja vya SQM tsh 500 vinapatikana wapi huko bro?