Naomba mnisaidie jinsi ya kupata mtaji, nimekwama sana

Kwenye Maisha kubariiii kuanzia chiniii🥃 binafsi nime scratch from the beginning.
😁

min -me , Monetary doctor , secretarybird njia moja ni ku scratch from the beginning LEO NIPO VERY LOW🔅
Siku zote inabidi uanze chini Ili siku ukianguka usipakate tamaa maana unakuwa na mentality ya kuamini kuwa unaweza ukaanzia chini hadi juu.
 
Kwa setup hii haiitaji utakatifu
 
Bruh nipe madini aseeh nakuskiza sunajua ndo nimetoka uhindini kuosha mbwa daah 😂
Sio kwelii ngoja tuongee kesho namalizia safari Lager ya pili hapa naomba tuongee madini keshoo

Leo nipo very low 🔅 sijui kwa Nini Ila life is a cyclolic process
 
Ndio maana nasisitiza sana vijana tununue ardhi, hasa hivi plot za miradi. Leo hii halmashauri na manispaa nyingi zina viwanja vya mradi ambavyo vipo hadi vya SQM 1 Tsh. 500, vijana tununue asset hizi udogoni.

Mambo hupinduka
Ivyo viwanja ni full box au ni used
 
Shukrani sana nimeupenda sana ushauri wako nitajitahid kuufanyia kazi.
 
Kufadhiliwa mradi unaoendelea ni rahisi kuliko kufadhiliwa mradi hewa.
Anza na padogo umiliki pakubwa...
 
Mkuu hii comment umeiandika ukiwa nchi gani?
 
Unatumia kilevi chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…