Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Mie nataka mandi ya bata mzinga
Weeeh, hivi ujue nilipika bata bukini aka turkey ama sijui ndo bata mzinga...🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Sema umesahau nilishaweka kipapatio chake/wings hapa kikubwa kama mguu wa mbuzi...🤪🤪.
Nenda Lumumba Street pale kuna mgahawa mmoja wa wasomali, wataalamu wa mandi.
Mi nilikuwa natoka Posta mpya nafata Shawarma na chips pale zilikuwa balaa, hushibi unasikia uongeze tuu yaani uendelee kula kama makande vilee 😜😜
Yaani hutaki ule utamu unaoupata mdomoni uishe unataka uendelee kula tuu bila kujali nafasi tumboni hakuna baada ya kumeza 😅😅.