Naomba mnisaidie niweze kula vizuri🙏🏼🙏🏼

Naomba mnisaidie niweze kula vizuri🙏🏼🙏🏼

Shawarma sehemu nyingi elf 5, urojo sehemu nyingi elf 2 mpaka 3, ushakunywa uji wa ngano nzima?? Mtindi na viazi vitamu je? Au uchemshe karanga zenye maganda zile weka chumvi unapochemsha unashuhia na mango juice ya baridi.. sometimes nunua chocopops or your fave cereals kula na maziwa fresh au kata matunda au salad!!

Bila kusahau chapati za kumimina, kuku/samaki ya kukaanga + chai ya maziwa! Hapo snacks kama pringles, lays, danish cookies ziwepo.
Shawarma sijui ni ninj mkuu☹️🙃
Urojo sijaupenda.

Unga wa ngano sounds delocious and healthy.
Unapikwaje?
Na vingine vyote nimevipenda barikiwa mkuu🙏
 
Ajiri chef mbona utafurahi mwenyewe, kama upo dar nipe mie tenda hiyo utakula misosi ya dunia nzima
 
Okay kama una familia nunua ratiba ya chakula kwa malkia food
Follow page za vyakula zinasaidia sana kupata recipe mpya na vyakula vipya.
Hata kama huna familia we follow page za vyakula huko insta hutojutia
Mimi zinanisaidia sana kuwa mpishi mzuri na recipe mpya za vyakula
 
Mwakani mambo yakikaa sawa sawa tutafanya kazi.Unakuja japo mara 2 kwa wiki
IMG_9468.jpeg
 
pia jaribu mapishi ya kichina ama kijapan....mexican....take your time....fuatilia jifunze vitu...

Kuna namna nyingi za upishi na kutengeneza ladha tofauti lkn kwa viti hivihivi unavokula kila siku...utaamua wewe...

jifunze cuisine za mabara tofauti utaenjoy sana
 
Tutapika seafood bucket
Andaa
1. Lobster
2. Calamari
3. Octopus

Pembeni
Andaa
1. Tomato kubwa kias 2
2. Kitunguu maji 1 kikubwa
3. Chumvi
4. Cooking cream
5. Andaa na mama cita
6. Saga kitunguu swaumu na tangawizi
7. Andaa na maji ya ndimu
8. Andaa bazil branch 1
9. Andaa na mint branch 1
10. Weka na mafuta ya kula gram 250
11. Weka na unga wa pilipili manga kijiko kimoja n unga wa mahindi vijiko viwili

Hapo tayari, Andaa na vifaa vya kukaangia ikiwemo karai na mwiko. Pia nyanya na kitunguu tutavibabua kwanza (baking)

Cc. Lamomy Kasie Joannah Evelyn salt
Shem vimenukia hadi huku 😋
Bora unifundishe mkinga kupika mana tunakoroga mpk sio pouwa 😹😹
 
Basi hapa mdogo wangu Lamomy akifika jiandae kukusagia kunguni eti bby wangu mpishi forodhani😂😂
By the way msosi unaonekana mtamu tunasave na nini?
Huyu simsagii ndio vizuri shem atupikie misotojo huku sisi tunapiga umbea dyadya 😜😹😹

Sema shem si aliwahi kufanyia hotelini Zanzibar, vitu km hivi vya sea foods kwake km kitonga anatelezaaaa.!!
 
Unaishi wapi kwanza? Unadai umeishiwa options wakati haujui hata fried chicken curry 😀 acha ushamba kuna aina nyingi sana ya vyakula ila pesa ndiyo hauna! Ukienda menu ya pale sea clif hotel pekee hauwezi kumaliza hizo sea food pekee😀 hapo bado haujapewa menu ya serena hotel
 
Kasie njoo umpikie nsansa ajilambe


Huyu anataka kula vizuri.

Mimi napika bora nishibe sio kupika ule...

Kuna tofauti ujue....

Unaweza ukawa unakula ili ushibe kutibu njaa.. buku jero inatosha kwa mlo.

Halafu kuna wale wanaokula ili wajisikie wamekula...😉. Kuanzia laki 1 kwa mlo.
 
Huyu anataka kula vizuri.

Mimi napika bora nishibe sio kupika ule...

Kuna tofauti ujue....

Unaweza ukawa unakula ili ushibe kutibu njaa.. buku jero inatosha kwa mlo.

Halafu kuna wale wanaokula ili wajisikie wamekula...😉. Kuanzia laki 1 kwa mlo.
Chakula gani laki?
 
Tumbo halina shukran unaweza kula laki mchana usiku ukalalia tikiti la 500 kikubwa jinjenge kiuchumi ufurahie maisha ya dunian
 
Back
Top Bottom