Naomba mnisaidie niweze kula vizuri🙏🏼🙏🏼

Naomba mnisaidie niweze kula vizuri🙏🏼🙏🏼

Kubadilisha vyakula una
Nimevikinai tu ila juzi kati nilikula Thai food nilifurahia sana ila sijapata wakunielekeza kukipika so sina shida ya appetite
Taka
Kuna sea foods kibao zama ferry hapo nunua nenda kapike,

Kuna Chinese food, sijui vyakula vya kiitaliano.....

Tafuta kitabu Cha mapishi ujifunze ama YouTube......

we kabila gani kula na vya kikabila
 
Habari wakuu.

Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri.

Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile na sasa vimenikinai sivifurahii.Nisipokula ugali samaki au kuku nitakula ubwabwa samaki au nyama nazi njegere ni ndizi za kupika,chipsi,au viazi roast main roast,chapati supu au mchuzi na vingine vingine tu kama hivi vya kawaida.

Naomba nyie mnaojua mapishi/mnaokula vizuri mnipe menu ya vyakula viziuri vizuri vya kitanzania.Hata vya kikabila kama vinanoga nitajie.

Niko serious nishachoshwa na vitu ninavyokula na mara nyingi jioni nakula ubwabwa na mboga tofauti tofauti ila zote zishanikinai.Hapa ubwabwa na mchuzi wa sangara na njegere nazi unanisibiri ila sina hamu nao kabisa ila nina njaa na roho yangu inatamani kula kitu kingine mbali ya hivi🙏🏼🙏🏼

NB:Wapi kwa Tz naweza kupata Egusi seeds.
Make kwanza nicheke😃😃😃
 
Unanirudisha u-chef kitambo hiko 😁 , kipindi hiko nakata nyanya kama sina akili nzuri. Vyakula vingi tunakula huku mtaani ni hot kitchen tu.. mbaya zaidi wabongo hata baadhi ya vitamin tunakosa mana matumiz ya spices na recipes hatuzijui. Kuna vitu vya kununua ili uwe unapig codes za kijanja
Nipe list ya hivyo vitu nikanunue puliz.🙏🏼🙏🏼
Hiyo menu hapo chini nilijua tu wewe ni chef.
 
Vyakula ukivigeuza starehe vitakuua mapema sana.

Kama hautakufa mapema, basi utakufa pole pole kwa dhiki ya kukatazwa kula vyakula vitam tam kutokana na migogoro ya afya itokanayo na ulaji.

Kwa hiyo tafuta wataalamu wa lishe akina dk. Janabi wakupe mwongozo, lakini kama umeamua kula kwa ajili ya starehe, akina dk Janabi watakupa miongozo yenye masharti ya kukukera sana.
Ni kweli mkuu Nitazingatia hilo japo sio rahisi
 
Tutapika seafood bucket
Andaa
1. Lobster
2. Calamari
3. Octopus

Pembeni
Andaa
1. Tomato kubwa kias 2
2. Kitunguu maji 1 kikubwa
3. Chumvi
4. Cooking cream
5. Andaa na mama cita
6. Saga kitunguu swaumu na tangawizi
7. Andaa na maji ya ndimu
8. Andaa bazil branch 1
9. Andaa na mint branch 1
10. Weka na mafuta ya kula gram 250
11. Weka na unga wa pilipili manga kijiko kimoja n unga wa mahindi vijiko viwili

Hapo tayari, Andaa na vifaa vya kukaangia ikiwemo karai na mwiko. Pia nyanya na kitunguu tutavibabua kwanza (baking)

Cc. Lamomy Kasie Joannah Evelyn salt
Basi hapa mdogo wangu Lamomy akifika jiandae kukusagia kunguni eti bby wangu mpishi forodhani😂😂
By the way msosi unaonekana mtamu tunasave na nini?
 
Mimi ushauri wangu punguza vyakula vya michuzi,sijui hizo njegere za nazi,mara mchuzi wa wa sangara mara dikodiko kama la birian utakinai sana.....Bad ilishanishinda spices,unaweza amua kupika nyama ukaitia kitunguu,ndimu na chumvi tu....kaanga iwe ya brown kaanga mzuzu kula .. au chemsha viazi ulaya vikiiva vizuri vimekauka maji vizuri ila havijaungua tea blue band yako kiasi @ kuvisonga mpaka vilainike kula @,Sometimes nunua mahindi mabichi na maharage mabichi na njegere kidogo pika kande zako vizuri kula...mambo ni mengi ngoja nikuuitie wataalam Pridah Missy Gf Nuzulati
 
Asante dear.
Michuzi inakinai hlf kila anayepika style ni ile ile.

Nitafanya hivi
 
Kwenye chakula chako jitahidi kuongezea matunda kama parachichi, siku moja moja pika chips na nyama choma na kuna vyakula vya kiarabu kama bokoboko na shuwaa (nyama inafukiwa ardhini kama mkaa),
Nikikumbuka nitaongezea
🙏🏼🙏🏼
Elezea vizuri kuhusu hiyo shuwah dear
 
Habari wakuu.

Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri.

Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile na sasa vimenikinai sivifurahii.Nisipokula ugali samaki au kuku nitakula ubwabwa samaki au nyama nazi njegere ni ndizi za kupika,chipsi,au viazi roast main roast,chapati supu au mchuzi na vingine vingine tu kama hivi vya kawaida.

Naomba nyie mnaojua mapishi/mnaokula vizuri mnipe menu ya vyakula viziuri vizuri vya kitanzania.Hata vya kikabila kama vinanoga nitajie.

Niko serious nishachoshwa na vitu ninavyokula na mara nyingi jioni nakula ubwabwa na mboga tofauti tofauti ila zote zishanikinai.Hapa ubwabwa na mchuzi wa sangara na njegere nazi unanisibiri ila sina hamu nao kabisa ila nina njaa na roho yangu inatamani kula kitu kingine mbali ya hivi🙏🏼🙏🏼

NB:Wapi kwa Tz naweza kupata Egusi seeds.

Vyote hivyo bado unakinai, basi au siku zako za kuishi zinaishia
 
Nipe muongozo chef wangu!

Ila kwanini ukaacha u chef dear au mishe za machimbo zimekubana😂
Anhaa nilipoga chef miez mitatu utawala wa wahindi sio kabisa. Nishafanya kazi nyingi sana hiyo ya chef now nimeiacha kama miez sita nyuma. Nowadays nina kabiashara ambacho early next year ninaenda kukipigania kwa nguvu zote mikoani
 
Hapo kwa wahindi nimekuelewa.
Uzuri ujuzi huo hauozi unaweza kuutumia anytime ukiona haja.

Hongera kwa kubdili upepo.
Nakutakia heri nyingi.🙏🙏
 
Back
Top Bottom