Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Niko hapa dada
Wapishi mko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapishi mko wapi
Sina ya maana ila ya kula ninayoUna hela?
Tafuta hela CaptainSina ya maana ila ya kula ninayo
Do the needful basi dear.Niko hapa dada
Sawa rafikiTafuta hela Captain
Haya ndo mambo sasa!😍😍Tutapika seafood bucket
Andaa
1. Lobster
2. Calamari
3. Octopus
Pembeni
Andaa
1. Tomato kubwa kias 2
2. Kitunguu maji 1 kikubwa
3. Chumvi
4. Cooking cream
5. Andaa na mama cita
6. Saga kitunguu swaumu na tangawizi
7. Andaa na maji ya ndimu
8. Andaa bazil branch 1
9. Andaa na mint branch 1
10. Weka na mafuta ya kula gram 250
11. Weka na unga wa pilipili manga kijiko kimoja n unga wa mahindi vijiko viwili
Hapo tayari, Andaa na vifaa vya kukaangia ikiwemo karai na mwiko. Pia nyanya na kitunguu tutavibabua kwanza (baking)
Cc. Lamomy Kasie Joannah Evelyn salt
Do the needful basi dear.
Nipo serious🙏🏼
Hapo mzee ukizipatia unalamba mpaka sahani. Although kibongo hii haitoshi kuwa mlo kamili, menya vianzi mviringo kata Kyups, chemsha kidogo un mashed alafu weka bluebird na vipake unga wa mahindi vikaange. Tafuta na sweet chilli weka juuHaya ndo mambo sasa!😍😍
Nimefurahi sana.
Inaonekana ni tamu..
Nalia na nini dear.?
Naamini ka white wine katasindikiza vyema
Hivyo ulivyotaja ndo kama umetaja utaratibu wangu wa kula kasoro hapo kwenye kubadili upikaji wa ubwabwa.Kwakua umeomba ushauri
Maake vyote ndo vyakula vyetu vya kila siku, na ndo Bora kwa afya
Ukipika ugali, wali hakikisha una mboga ya majani zaidi uipendayo, matunda, au juice ya matunda... plus samaki au nyama au maini ama dagaa
kwenye nyama unaweza pika Leo sotojo, kesho ukaoka, siku nyingine unaikaanga Cha msingi kuwa na taste tofaut tofauti ......
zingatia viungo kwenye upishi wako, carrots, nyanya, pilipili, kitunguu na vinginevyo bila kusahau masala ni nzuri kwa kunukia na kukufanya u enjoy msosi
Siku nyingine pika mchemsho tuu wa samaki au unachopenda ...... Ni msosi tosha
wali jitahd uwe na ubunifu nao.....
Leo wali maua, kesho kaanga kitunguu kimoja, siku nyingine kaanga, siku nyingine chemsha maji then pika, usipende kutumia rice cooker
kingine relax wakati wakula usiwe na issue za anxious... woga woga ondoa furahia msosi.....
Usile kama hutokula Tena..... Kula kuridhika zaidi
Pia fanya mazoezi ili upate appetite ya kula,
secretarybird @
alaga baho Kuna story nzuri ipi ina trend humu km ipo niekee link mkuu. Pls best regardsHapo mzee ukizipatia unalamba mpaka sahani. Although kibongo hii haitoshi kuwa mlo kamili, menya vianzi mviringo kata Kyups, chemsha kidogo un mashed alafu weka bluebird na vipake unga wa mahindi vikaange. Tafuta na sweet chilli weka juu
raza angu...Uzi wa vyakula tu
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23]...www.jamiiforums.com
Nitakupa mrejesho.Hapo mzee ukizipatia unalamba mpaka sahani. Although kibongo hii haitoshi kuwa mlo kamili, menya vianzi mviringo kata Kyups, chemsha kidogo un mashed alafu weka bluebird na vipake unga wa mahindi vikaange. Tafuta na sweet chilli weka juu
Basi itakuwa una tatizo la kukosa appetite .... Jaribu kuwaona herbal wakusaidieHivyo ulivyotaja ndo kama umetaja utaratibu wangu wa kula kasoro hapo kwenye kubadili upikaji wa ubwabwa.
Siku zote nakula ubwabwa wa nazi imetoka.Nitafanyia kazi ushauri wa ubwabwa mkuu
Nitaupitia.Uzi wa vyakula tu
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23]...www.jamiiforums.com
Nimevikinai tu ila juzi kati nilikula Thai food nilifurahia sana ila sijapata wakunielekeza kukipika so sina shida ya appetiteBasi itakuwa una tatizo la kukosa appetite .... Jaribu kuwaona herbal wakusaidie
Ila kama unajua kupika hukinai msosi afu una familia?
Kama upo mwenyewe jitahidi ule na wengine wakupe kampani
Vyakula ukivigeuza starehe vitakuua mapema sana.Habari wakuu.
Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri.
Uwezo wa kula vizuri ninao ila siridhiki na vitu ninavyokula.Najikuta kila siku nakula vitu vile vile na sasa vimenikinai sivifurahii.Nisipokula ugali samaki au kuku nitakula ubwabwa samaki au nyama nazi njegere ni ndizi za kupika,chipsi,au viazi roast main roast,chapati supu au mchuzi na vingine vingine tu kama hivi vya kawaida.
Naomba nyie mnaojua mapishi/mnaokula vizuri mnipe menu ya vyakula viziuri vizuri vya kitanzania.Hata vya kikabila kama vinanoga nitajie.
Niko serious nishachoshwa na vitu ninavyokula na mara nyingi jioni nakula ubwabwa na mboga tofauti tofauti ila zote zishanikinai.Hapa ubwabwa na mchuzi wa sangara na njegere nazi unanisibiri ila sina hamu nao kabisa ila nina njaa na roho yangu inatamani kula kitu kingine mbali ya hivi🙏🏼🙏🏼
NB:Wapi kwa Tz naweza kupata Egusi seeds.