- Thread starter
- #41
Mbona unataja vitu vya ajabu mkuu siwezi kula hivyo plzSasa kama tunakula kichwa ya mbuzi, ng'ombe mpaka na vifanyio vyao makagali kitu gani Mzee.... Pigaa hiyo makitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unataja vitu vya ajabu mkuu siwezi kula hivyo plzSasa kama tunakula kichwa ya mbuzi, ng'ombe mpaka na vifanyio vyao makagali kitu gani Mzee.... Pigaa hiyo makitu
Si umesema Kuna nchi zina vyakula vingi kiongozi...Sasa bongo hata ...ni kuku,samaki,nyama ,kamdudu,Bata ... Mboga umemaliza..... Labda kama unataka kula pembejeo kama maharage, mahindi, choroko,dengu n.k..hizo ni pembejeo sio mboga MkuuNimeomba vya kibongo mkuu
Napenda ya futariKula magimbi kwa mtindi!
Ushendaga kuhemea machinjioni!??.....Mbona unataja vitu vya ajabu mkuu siwezi kula hivyo plz
Mlo kamili ila vinoge mkuuUnataka kula kitu ambacho haukijuii...
Kula vizuri ni kupata mlo kamili. Zingatia mlo kamili.
Bora nile pembejeo kuliko hivyo vitu vyakoSi umesema Kuna nchi zina vyakula vingi kiongozi...Sasa bongo hata ...ni kuku,samaki,nyama ,kamdudu,Bata ... Mboga umemaliza..... Labda kama unataka kula pembejeo kama maharage, mahindi, choroko,dengu n.k..hizo ni pembejeo sio mboga Mkuu
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Huwa ananoga
Mkuu tulia basi🙏🏼Ushendaga kuhemea machinjioni!??.....
Anatamanisha
Wapishi mko wapi
Mlo kamili ila vinoge mkuu
nyinyi ndo huenda chooni na magunzi
Pika mlenda, kisamvu, mchicha, kabichi au fiwi. Usisahau makandeSio wote wana struggle kula mkuu na pia kuna machef wanisaidie please
Unataka kula kitu ambacho haukijuii...
Kula vizuri ni kupata mlo kamili. Zingatia mlo kamili.
NaamAnatamanisha
I hear you mkuu🙏🏼Kula mlo kamili kwa afya ya mwili wako.
Kula vya kunoga au bila kunoga sio ishu.
End products afta kula ni ile ile... Haijalishi umekula nini. Zingatia mlo bora wenye kila virutubisho.
Unaona eeh.Unakuaje nahela halafu bado unakula maugali kwan unataka kwenda kupasua mbao
Kande sizipendi ila hizo ulizotaja ni kila siku zinabadilika majina tuPika mlenda, kisamvu, mchicha, kabichi au fiwi. Usisahau makande