Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

Ashirikishe na jamaa wa hakixaa bnadamu soon watamwona kamayuko...
 
We mgeni Bongo ? Kuna wadau kibao yameshawakuta kwa kununua vitu (hususan electronics za wizi) huchelewi kuuziwa Kesi na kulipa zaidi ya mara elfu moja ya kitu ulichonunua...., Huchelewi kuambiwa hio simu iliibiwa baada ya mauaji...

Mkuu aliyesema Andhaa Kanoon hakukosea na sio kila anayeshikwa ni mkosaji; na statement ya polisi sio wajinga hawakurupuki nadhani ni overstatement....
 
Ashirikishe na jamaa wa hakixaa bnadamu soon watamwona kamayuko...
Unaweza jua wanapatikana wapi màana wanasubiri majibu yenu niwapgie simu niwape angalau muongozo utakaoweza kujua cha kufanya màana kila siku wanalia na hawajui wakasemee wapi,nimewaambia hapa jamii forums kilio chao kitapata mwongozo
 
Unakisoma ulichaondika ndugu??Kwa hiyo unasupport polisi kupoteza watu kisa ni wezi ama??Tutajuaje sisi kama ni mwizi bila ya mahakama kuthibitisha hilo??Vipi kama wana- bief zao huko mtaani??
Haya mambo msiongee kana kwamba nyie ni watu wengine..Hata wewe hapo ndugu yako au mtoto wako anaweza siku akapata masaibu ya design hiyo...ndo akili zitakukaa sawa..kujua umuhimu wa kusisitiza kufuata misingi ya sheria na katika.
Polisi sio hakimu
 
Hayo maeneo ni shida inawezekana washamuua huyu jamaa.
 
Mtuhumiwa yoyote lazima afikishwe kituo cha polisi na apandishwe mahakamani kusomewa kesi yake na ndugu zake wajulishwe hata kama ameuua.
Shida jeshi la polisi lina form 4 failure na majambazi waliorasimishwa
Sijui unatetea nini ujing gani
 
Huyu jamaa huenda akawa si binadam ama si Mtanzania màana hata alichokiandika hakitoki sayari hii ama huenda ni ....... Anayejipooza nafsi yake kwa matendo aliyofanya ya kumwag ,,,,,,za watu ...yaan kujifariji.
GOOGLE KITUOCHA SHERIA NA HAKIZABINADAMUTANZANIA
Asante
 
Huyo mjumbe anachoskitika ni kitu gani kama sio mnafiki

Inamaana yeye hajui sheria kwamba polisi hatakiwa kumkamata mtuhumiwa saa nane za usiku?

Alitakiwa asitoe ushieikiano sababu haitakiw kwa mujibu wa sheria polis kumkamata mtu nyumban kwake saa nane usiku
 
Ila mjomba umekosea sana kusema kwamba Hamcheleweshi wezi ,sasa mahakama imekuwa ni mikono yenu ama
Wajumbe wengi ni watu tu WA kawaida humo mtaani na wengi hawajui sheria hizo,hivyo wanatii na kushirikiana na polisi kutokomeza uhalifu mbalimbali mitaani..mjumbe alisimama vyema kwenye nafasi yake nahisi hana lawama tumuweke pemben tuangalie jinsi gani ya kusaidia huyu bint na familia ya Bwana Omary
 
Sawa afande wanahitaji kujua alipo,hata kama hamcheleweshi mmemuua wapeni mwili wakazike.
 
Dah! Poleni sana ndugu zangu kwa hiyo changamoto kubwa iliyowakuta. Waambie wajaribu kumtafuta huyu +255620898989.

Hana shida anaweza kuwapa mwongozo wa changamoto yao na kuwatoa wasiwasi.

Ova
 
Sawa afande wanahitaji kujua alipo,hata kama hamcheleweshi mmemuua wapeni mwili wakazik

Sawa afande wanahitaji kujua alipo,hata kama hamcheleweshi mmemuua wapeni mwili wakazike.
Ndugu wapo tayari hata mwili ukatupwe tu barabarani karibu na kwao,wataukokota na kuusitiri kwa Imani zao.maana kwa sasa wanaamini wao hawana mtetezi wala WA kuwasemea kwenye nchi Yao wenyewe.WAMESHAKATA TAMAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…