Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

WE PUMZIKA KWANZA TAFUTA MTU ANEYE FAHAMU VITUO VYA POLISI NAWALA USIENDE WEWE.PILI USIPANIKI MAANA MAZINGIRA YA RUSHWA YANA TENGENEZWA.
POLISI WENGI WA KUTRACK WENYE SIFA NI OSTABEY ALIKUJA JAMAA MWEUPE NINI AU RANGI AINA GANI NIKUPE KITUO
 
Poleni sana kwa hiyo changamoto kubwa iliyowapara. Mtafuteni huyu +255620898989, hana shida anaweza kuwapa mwongozo wa kuwatoa wasiwasi.

Ova

Dah! Poleni sana ndugu zangu kwa hiyo changamoto kubwa iliyowakuta. Waambie wajaribu kumtafuta huyu +255620898989.

Hana shida anaweza kuwapa mwongozo wa changamoto yao na kuwatoa wasiwasi.

Ova
Asante kwa niaba mkuu,namba itawafikia usiku huu na nitawaambia asubuhi wampigie kuomba msaada Zaid na nitaleta mrejesho yatakayojiri huko.
 
WE PUMZIKA KWANZA TAFUTA MTU ANEYE FAHAMU VITUO VYA POLISI NAWALA USIENDE WEWE.PILI USIPANIKI MAANA MAZINGIRA YA RUSHWA YANA TENGENEZWA.
POLISI WENGI WA KUTRACK WENYE SIFA NI OSTABEY ALIKUJA JAMAA MWEUPE NINI AU RANGI AINA GANI NIKUPE KITUO
Inaonekana unajuana nao sana mkuu,ila sijauliza walivyo Zaid ya majina Yao basi saidia hata kidogo kuwaulizia hao washikaji zako jamaa wamempeleka wapi màana mkewe anashindq njaa na mtoto mdogo Leo nimewatumia elfu sita watoe elfu tano nikiwa kwenye mlango WA bar nikanywe bia Tatu nikaghair nikarud home kwa uchungu.

Inauma sana mkuu
 
Is simple polisi watakuwa wamemuua ama kumjumuisha na kesi za kubambika zisizo na dhamana.

Tanzania ipo sasa imewekwa mikononi mwa watu wasiozingatia Utawala wa Katiba na Sheria
 
Is simple polisi watakuwa wamemuua ama kumjumuisha na kesi za kubambika zisizo na dhamana.

Tanzania ipo sasa imewekwa mikononi mwa watu wasiozingatia Utawala wa Katiba na Sheria
Hapana,Tanzania yetu tunayoijua,kuipenda na kuilinda kwa jasho na damu ni Tanzania ileile ambayo haijawekwa wala haitawekeka mikononi mwa watu wasiozingatia utawala WA Katiba na sheria.ISIPOKUWA kuna watu wachache ambao wao wanajiona wana mamlaka ya kuifanya Tanzania yetu vile watakavyo bila kujali Katiba na sheria kutokana na nafasi ama vyeo vyao,hawa sasa wanatakiwa washughlikiwe IPASAVYO hili wasiiharibu nchi yetu mkuu
 
Hata ukatae vipi.
Haya matukio yanajirudia rudia na hakuna anayewajibika. Huko juu wapo bize kupanga safu wala hawana muhaka na haya madudu yanayoendelea.

Kununua simu ya wizi ina penal code yake. Kwa nini polisi wajitwalie sheria?

IGP analea huu uhuni anapaswa kuzingatia jukumu la Kikatiba na siyo kuendesha taasisi kama kikosi cha kudhuru wananchi
 
Mwizi aliyekamatwa na polisi bila usumbufu na mjumbe shuhuda, anauawa kwa kosa lipi?

Na siyo polisi wanaoyufundisha tusichukue sheria mkononi?

Usishabikie hali hii, leo kwake kesho kwako na kama siyo kwako basi nduguye litampata. Utajisikiaje?
 
Ni kipengele kipi cha sheria unasindikiza na hii hoja yako?

Au kuna hukumu ya kifo imeshatolewa na mahakama kisha rais ameshaisaini na polisi wametumwa kuitekeleza?

Nyie wauaji mnaotumwa na serikali msidhani mtabaki salama tukisharejea kwenye utawala wa katiba na sheria
 

Mwizi aliyekamatwa na polisi bila usumbufu na mjumbe shuhuda, anauawa kwa kosa lipi?

Na siyo polisi wanaoyufundisha tusichukue sheria mkononi?

Usishabikie hali hii, leo kwake kesho kwako na kama siyo kwako basi nduguye litampata. Utajisikiaje?
Inauma sana kaka,mm nilipopewa hii habari na nikapiga simu kwa mama WA aliyepotezwa na wake zake kujiridhisha na mjumbe pia nilijisikia uchungu sana,mpaka nimewaandikia waraka huu bado najisikia uchungu sana,.sasa sijui wao wenye ndugu wanajisikiaje na Hali ya kuwa polisi hao waliohusikq wanawaona wanadunda Kama kawaida!
 
KUNA SEHEMU POLISI WAMEZIWEKA BLACK SANA KUTOKA KUNACHUKUA MDA AU KUPOTEA KABISA:
KAMA WEWE UKISEMA AU UMEKAMATWA UNATOKEA SEHEMU HIZI DAR:
TANDARE
MANZESE
MBURAHATI
KIGOGO
BUGURUNI
TEMEKE
YOMBO
TEMEKE
MBAGARA
BUZA
TANDIKA
MAGOMENI POPO BAWA
ARGENTINA
MABIBO
MWANANYAMALA
KAWE USWAHILINI.

KUNA MAWILI KUPIGWA SANA NA KUWEKWA KITUO BILA KUANDIKISHWA AU KIFO KAMA MUHUSIKA.

ULIPONIAMBIA KWA NENO KWA JONGO TU.
SEMA TAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUWAPA MSAADA SIO KUANZISHA MANENO MTAMKOSA MIRAD AYO AJE KUINGIZA MSHIKO KWENYE VIWER YOUTUBE
 
Pumbavu kabisa..wewe ni hasara ya kizazi chako mbwa Koko ww
 
Huwa siamin kabisa katika hii paragraph yako ya Tatu mkuu,..Serikali haitumi wauaji,yaani serikali haswa iwakusanye wewe na wewe na wewe kamanda ova kafanyeni mauaji kwa hawa raia kwa sababu hii na hii ..Mimi huwa nasikia sikia ila hili jambo halipo bhana.


Isipokuwa naamini kuna vikundi vya wahuni wenye mamlaka ama waliopewa dhamana na serikali wanafanya uhuni huo kwa faida Yao wenyewe bila serikali kujua na serikali ukitaka kuingilia kwa kuwa wao ndio njia ya kupitia wanayafumbafumba ndio màana mpaka Leo hatupati ukweli.

Ila serikali Kama serikali kutuma wauaji hapana..au mm sijui màana yaa serikal kwani serikali ni nini mkuu..serikali?kuna jamaa hapa pemben ananijibu et serikali ni sirikali pumbaf zake.
 
Ndugu yangu
Serikali hii ambayo haijali hali za raia wake usidhani kama huu uchungu tunaouona hapa kwa hao wenye mamlaka yaani wakubwa wa polisi na watawala haupo kwa kuwa mhanga hana udugu nao.

Tumuombee mtanzania mwenzetu kama hajakutwa na baya basi ashtakiwe na kuhukumiwa kwa haki ili sheria imhukumu na siyo utashi wa washika bunduki
 
Mwangosi alifanywa nini na nani? Unakumbuka Kamuhanda alishatoa neno kabla ya yale mauaji?

Akwilina aliuawa kwa risasi ya polisi. Niambie lengo la risasi ya moto kwenye ile issue ambayo raia hawana silaha na risasi ikampiga Akwilina akiwa ndani ya daladala akiwa ahusiki na maandamano...

Unakumbuka video za ile commotion ya Mwembechai? kupitia runinga tuliona risasi zikirindima huku zikitoka akri piga yule piga yule.....

Hii nchi imeshaondoka kwenye misingi yake ndo maana haya yanatokea na hakuna anayewajibika
 
Mtu ambaye anaweza kutupa msaada ndio hapa anatafutwa kaka ,m
Mtu ambaye anaweza kutoa msaada ndio hapa anatafutwa kaka,TENA anayewatafutia ni mtu mwingine kabisa aliyejitolea màana wao wameshakuwa wanyonge na kujiona Kama wakimbizi kwenye nchi Yao wenyewe na hata Mimi wameniambia maneno haya nimejisikia uchungu sana ''Baba huko unakoenda kuandika hili ujadili na watu kuwa majini Baba màana usije ikapata matatizo na wewe nchi ina wenyewe hii Sisi masikini hatuna màana yoyote'' halafu hawa hawa ndio wapiga Kura.

Kama unaweza kuwasaidia lakini bila rushwa mpigie mjumbe namba yake IPO kwenye bandiko wasaidie Mungu atakulipa ama utakuwa umetimia wajibu wako.
 
Kwa maneno yako mwenyewe unakiri ninachosimamia kwenye hoja yangu.
Nchi imekosa weledi. Ukijifanya mwema wanakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…