Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuu wengi wakichangia maneno machache kama yako huwa ni porojo ila wewe umeweza kuyatumia machache kunisaidia asante sanaHuna tatizo ni hofu imekujaa. Anza kufanya mazoezi mepesi kila siku na kula protein sana. Kila siku jioni kwa muda wa nusu saa jaribu usifanye x kwa siku 3-4 utarudi hali ya kawaida.
Kwa tuliooa hiyo hali inatokea hasa ukifululiza sex na bila kufanya mazoezi. Pia kuzoeana kunachangia sana badilini style pia. Kila la heri
Sometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.
Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!
Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!
Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!
Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena
Dah mkuu akili yangu iko sawa tuuu wala hakuna kinachonipa stress ila sasa kuna ule wakati wa game yani kuna mawazo hunijiaa kwamba inasinyaaa na inasinyaa kweli na pale nakata tamaa kabisaa haisimamiDaaahhhh unaweza kucheka kumbe mtu anateseka.
Sababu zinaweza kuwa 2 au zaidi
Mosi😛sychological matter. Kuna jambo(siri) linakuumiza. May be lakifamilia au la kibinafsi.
Pili: Mambo ya kiroho, hapa huenda pepo au uchawi unatawala ndoa yako ili kuwaachanisha(kuvuruga).
Una hofu....hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 katika maisha yake, kupotea au kutokupotea kwa hali hiyo hutegemea sana na jinsi utakavyoipokea hiyo hali na kudeal nayo....kadri utakavyo kuwa unashindana na kutaka kulazimisha akili yako ikubali ifanye vile unavyotamani au kutaka ifanye( kudindisha au kupenyeza uume ukeni) ndvy hali hy inazidi kuwa mbaya au kuongeza ukubwa wa tatizo na uume kulegea zaidi . Nini sasa cha kufanya?
1. Ondoa hofu, na tambua kuwa hauna tatizo lolote la nguvu za kiume.
2. Ukiwa faragha na mkeo jaribu kurelax hasa akili, yani relax kabisa usifikirie kufeli kwa hilo tendo( be positive). Na ikitokea umefail basi usipanic kabisaaa, jipe confidence na rudia rudia maneno (kimya kimya) kwamba "naweza fanya" (I can do this) au jisemeshe kuwa "sina tatizo".
3. Usiwaze kwa haraka kukamilisha hilo tendo au usiwaze kumkomoa mkeo, wewe ifanye akili zako ziwe pale muda wote. Mpe muda mkeo afanye mautundu yake BJ ihusike sana, ikidinda anza kwanza kwa kufanya mazoezi kwa mke aibane mb*** kwa matiti yake kwanza au akunje mguu uingize kwenye upennyo wa mguu na paja kwa, hii inakujenga confidence...fanya hv mara kadhaa..mpaka utakapoona umegain confidence ya kutosha.
4. Baada ya hzo practice chagua style ambazo zitakufanya dushe liwe karibu na mbunye ili kuwa standby huku mkiongea nasty language au lugha yyt laini ili kukufanya uwe stimulated na ikitokea imesimama we unapenyeza fasta huku ukiondoa hofu.
5. Probably utakuwa unapata pia na premature ejaculation pia, sy issue ni hali ya kawaida usjari we focus katika lengo lako ( kurelax na kuondoa hofu) huku mkeo akiplay part kubwa ya yeye kutokupanic pia.
6. Mwisho kabisa fanya mazoezi na kula vzr kama wajumbe wengine walivyoshauri hii itasaidia pia kubalance chemicals ambazo pia ni mhm ktk tendo. Lkn mhm kumbuka na weka kichwani kwako kuwa huna tatizo la kutisha na hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 ktk maisha yake.
Asante sana mkuu nashkuru kwa muda wako na nimepata mwanga.Una hofu....hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 katika maisha yake, kupotea au kutokupotea kwa hali hiyo hutegemea sana na jinsi utakavyoipokea hiyo hali na kudeal nayo....kadri utakavyo kuwa unashindana na kutaka kulazimisha akili yako ikubali ifanye vile unavyotamani au kutaka ifanye( kudindisha au kupenyeza uume ukeni) ndvy hali hy inazidi kuwa mbaya au kuongeza ukubwa wa tatizo na uume kulegea zaidi . Nini sasa cha kufanya?
1. Ondoa hofu, na tambua kuwa hauna tatizo lolote la nguvu za kiume.
2. Ukiwa faragha na mkeo jaribu kurelax hasa akili, yani relax kabisa usifikirie kufeli kwa hilo tendo( be positive). Na ikitokea umefail basi usipanic kabisaaa, jipe confidence na rudia rudia maneno (kimya kimya) kwamba "naweza fanya" (I can do this) au jisemeshe kuwa "sina tatizo".
3. Usiwaze kwa haraka kukamilisha hilo tendo au usiwaze kumkomoa mkeo, wewe ifanye akili zako ziwe pale muda wote. Mpe muda mkeo afanye mautundu yake BJ ihusike sana, ikidinda anza kwanza kwa kufanya mazoezi kwa mke aibane mb*** kwa matiti yake kwanza au akunje mguu uingize kwenye upennyo wa mguu na paja kwa, hii inakujenga confidence...fanya hv mara kadhaa..mpaka utakapoona umegain confidence ya kutosha.
4. Baada ya hzo practice chagua style ambazo zitakufanya dushe liwe karibu na mbunye ili kuwa standby huku mkiongea nasty language au lugha yyt laini ili kukufanya uwe stimulated na ikitokea imesimama we unapenyeza fasta huku ukiondoa hofu.
5. Probably utakuwa unapata pia na premature ejaculation pia, sy issue ni hali ya kawaida usjari we focus katika lengo lako ( kurelax na kuondoa hofu) huku mkeo akiplay part kubwa ya yeye kutokupanic pia.
6. Mwisho kabisa fanya mazoezi na kula vzr kama wajumbe wengine walivyoshauri hii itasaidia pia kubalance chemicals ambazo pia ni mhm ktk tendo. Lkn mhm kumbuka na weka kichwani kwako kuwa huna tatizo la kutisha na hiyo hali hutokea kwa kila mwanaume angalau mara 1 ktk maisha yake.
Mkuu nawe unafatilia auBest !! Thank you .....Hapa nimekupata Vyema
Nalogwaje na nani?umelogwa, tegua tego hilo.
Sawa mkuu japo sio maneno mazuri kwa muungwana lakini ndo watu tulivyo.mmh! Pole mkuu,. uhanithi unakujongelea
Mkuu nawe unafatilia au
Good, basi una "plus" nyingi kuliko negatives lione hilo na likupe nguvu kwamba atleast una vitu vya kujivunia vingi zaidi. Kumbuka hiyo practice ya hizo sehemu nilizotaja siyo ya kudumu usifanye kwa muda mrefu, kama umeshajaribu na ukafanikiwa basi inatakiwa uelekeze nguvu zako sasa ktk real event "K". Usiiogope K izoeee ondoa hofu ya mbunye " mbunyephobia ha ha ha (joke) kuuubwa hapa mkuu ni wewe kukontrol akili yako tu....utafanikiwa tu, hata kama ukifail isikunyime usingizi.Asante sana mkuu nashkuru kwa muda wako na nimepata mwanga.
Ila kuhusu ejaculation naenjoy mwenyewe.
Naweza jizuia kwa sababu ni mdau wa kegel sana siiachagi mkuu hivyo kukojoa nataka mimi muda gani niwakaribishe wazungu tanzania.
Ikisimama mkuu nikawa nasugua humo ulimotaja naweza kanyaga hata 4 au 5
Kumbe mtizi ulikusaidia mkuu au vipi?[emoji23][emoji23] Masturbation Nimeanza nikiwa kidato cha kwanza Mpaka kidato cha Nne !! ..... Ila Mimi najua ni tatizo tu la Kisaikolojia !! Mazoezi kiasi ili kufanya damu zitembee Mpaka uumeni !! Nishawahi kumpiga Demu mpaka kanyanyua Mikono juuu!!
Bado sjaoa ila Tunajiandaa Kisaikolojia
Ukweli unauma mkuu,ila ndio ukweli huo mkuu wangu. Ukiona hivyo ujue unyumba sasa unakutupa mkono unless ufate ushauri wa wadau wa kufanya mazoezi na kubadilisha mtindo wako maisha hasa kwenye kulaSawa mkuu japo sio maneno mazuri kwa muungwana lakini ndo watu tulivyo.
Asante.