Hizo km 4 unazisema tuu sidhani kama utaenda non stopMkuu wacha nianze leo jioni kukimbia naanza na km 4 kwanza mana daah inakwra sana
Nikimtizama wife anapita na kanga moja au night dress jamaa anasimama bara bara ila nikiingia mzigoni daah mpaka naomba sapoti ya mkono kabisa.
Mwannzo ilikuwa ndo utaratibu wangu mkuu napiga 4km non stop na mwishon napiga sprintHizo km 4 unazisema tuu sidhani kama utaenda non stop
Kuna mijitu mijinga inakukatisha tamaa kwenye huu uzi wako.Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.
Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.
Ajabu ni kwamba
Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.
Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.
Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.
Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.
WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Aah mkuu kwa kweli haisimamii juu kabisa na haiangalii chini kabisa ni kama iko levo kidogo hivi.Kuna mijitu mijinga inakukatisha tamaa kwenye huu uzi wako.
Asiye na nguvu za kiume ni yule ambaye akisimamisha, inakuwa haiangalii juu, yaani inaangalia chini. Je, inapokuwaga ngumu kama jiwe huwaga inaangalia wapi?, juu au chini?
Kujua kama ikiwa ngumu kama jiwe inaangalia chini au juu, inatakiwa kipindi imedinda uwe umesimama kwa miguu yako miwili, kwahiyo, siku nyingine ikiwa ngumu kama jiwe, inuka haraka usimame kwa miguu, halafu iangalie kama inaangalia juu au chini. Ikidinda fanya hivyo halafu njoo ulete mrejesho.Aah mkuu kwa kweli haisimamii juu kabisa na haiangalii chini kabisa ni kama iko levo kidogo hivi.
Nadhani kw maana yako nguvu zinaanza kuisha mkuu mana siwezi sema inaangalia juu kabisa mkuu.kwa hilo sidanganyi.Kujua kama ikiwa ngumu kama jiwe inaangalia chini au juu, inatakiwa kipindi imedinda uwe umesimama kwa miguu yako miwili, kwahiyo, siku nyingine ikiwa ngumu kama jiwe, inuka haraka usimame kwa miguu, halafu iangalie kama inaangalia juu au chini. Ikidinda fanya hivyo halafu njoo ulete mrejesho.
Ikiangalia juu maana yake una nguvu nyingi tu. Ikiangalia chini maana yake huna nguvu. Ikiwa haiangalii chini wala juu, maana yake nguvu zako ni za wastani, yaani siyo ndogo wala siyo nyingi.
Daaaaah mkuu hatarii hyoopamoja na mazoezi uwe hata kwa wiki mara mbili unaosha dushe kwa kutumia dawa ya MENO it works for sure
Kwanza kabisa, shukuru haiangalii chini, ingekuwa inaangalia chini tungesema hauna nguvu. Yako haiangalii chini wala juu maana yake una nguvu za wastani, nguvu hizo za wastani lolote linaweza tokea, zinaweza pungua au kuongezeka kutokana na mtindo wa maisha utakaoishi. Badili mtindo wa maisha ili ziongezeke.Nadhani kw maana yako nguvu zinaanza kuisha mkuu mana siwezi sema inaangalia juu kabisa mkuu.kwa hilo sidanganyi.
Haya mkuu ebu nipe maujanja nirudishe nguvu
Kwanza kabisa, shukuru haiangalii chini, ingekuwa inaangalia chini tungesema hauna nguvu. Yako haiangalii chini wala juu maana yake una nguvu za wastani, nguvu hizo za wastani lolote linaweza tokea, zinaweza pungua au kuongezeka kutokana na mtindo wa maisha utakaoishi. Badili mtindo wa maisha ili ziongezeke.
CHA KUFANYA.
1: Nenda hospitali kapime watajua nini tatizo.
2: Acha kuungia mboga mafuta ya kula ya aina yoyote, baadala yake ungia karanga mbichi, yaani zitwange karanga mbichi ziwe unga halafu zitumbukize kwenye mboga.
3: Kula vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume, shahawa, mbegu na akili.
MUHIMU.
Anza na hospitali kwanza.
ingia hata youtube utapata majibu...Daaaaah mkuu hatarii hyoo
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.
Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.
Ajabu ni kwamba
Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.
Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.
Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.
Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.
WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI
Hapana mkuu kuna uzi nimeandika hivi juzi tuuuuu kuomba kilainishi kwa ajili ya mke wangu,mungu kampa uke wa kubana ila tuu sometimes hatoi uteMkuu hutaki tu kusema ukweli lakini nahisi mke wako atakuwa na K pana ambayo haibani vizuri mashine yako. Mwambie mkeo awaone wataalamu wampunguzie upana wa K Ili uweze kuenjoy issue, vinginevyo utazeeka ukimtafuta mchawi bila mafanikio. Ni hayo tu mkuu.
Unatatizo la hofu, na kisaikolojia.
Inaonekana unakuwa na hofu kuwa uume utalala.
Jaribu kufanya mazoezi ya kukimbia, kamba, kichurachura, squats.
Pendelea kunywa tangawizi, asali, kitunguu swaumu, karanga na maziwa na maji ya kutosha.
Mwisho kabisa ni kujiamini, hili ndo wapaswa kuzingatiaa kwa asilimia kubwa.
Umenikosea sana adabu mkuu.
Sijawahi kuchepuka na sina mpango huo kabisa.
Samahani sana mkuu kwa kwenda kinyume na maoni yako.
Pole sana kwa maswahibu uliyonayo.
Fanya yafuatayo:-
1. Kula mchemsho wa bamia na nyanya chungu(zile chungu kweli) kila siku kwa muda wa siku 30 -90
2.Fanya mazoezi ya viungo
3.Tafuna mbegu za mlonge asubuhi na usiku kabla ya kulala au kunywa maji ya moto kikombe kimoja cha chai chenye kijiko kimoja cha unga wa mbegu za maboga x2 kwa siku.
4. Paka mafuta ya zaituni (olive oil) kwenye uume wako na eneo la kinena kisha uufanyie massage uume kila siku usiku kabla ya kulala
Njia zote hizo zisipokusaidia, utanitumia PM kwa msaada zaidi.
Kila la heri!