Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Kwamba hamtaki binti yenu aolewe ila mnataka kumfungulia mashtaka MKWE wenu ..aisee... ngoja waje wakushauri

Ila tayari una single maza hapo nyumbani kwako ni bora ukawaozesha

Vipi kama binti kampenda huyo MKWE wenu ? Hamuoni mnaingilia ?
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
bila shaka mwanachuo ni mtu mzima. Hivyo anachokifanya anakitambua. Nivyema mngekubali aolewe tuu kwasababu aliyokuwa akiyafanya alijua matokeo yake.

Kuhusu kuchukua sheria kwa kitendo Cha kupewa mimba. Sheria haipo upandewenu, kwasababu huyo tayari ni mtu mzima na sio mwanafunzi wa sekondari au shule ya msingi ambaye analindwa na sheria ya mwanafunzi. Hivyo basi hamnasababu ya msingingi kuchukua sheria dhindi ya mtia mimba.

NB: NIVYEMA MKAKAA CHINI MYAMALIZE
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Mmmmm pambabeni binti uenu ajifungue arudi chuo....achabeni na mkwe...time atasmua...! Ushauri rahisi na wa bure
 
Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi,ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.
Umesema Ndugu yako, halafu ghafra bin Vuu! ndugu yako akabadilila na kuwa Binti yako.

HII NI CHAI! 🍵

5503c99ffeb29bf2e4011a24f9b8abfd.gif

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Vyuon Kuna mpaka kondom za bure Ila mwanenu akaona ATI.we kavu
 
Hakuna tatizo hapo, kwani chuo wanakataza kusoma ukiwa mjamzito, binafsi nimesoma na wajawazito wengi tu wengine walikomaa mpaka wakajifungua Wala hawakupostpone masomo, ukimaliza kipindi unakimbia gheto chap unanyonyesha unarudisha chupi darasani
 
Back
Top Bottom