Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi hawana akilimwanaume anataka kumuoa ila nyie mnakataaa
mtamlea huyo binti na huyo mtoto na hakuna msaada wowote mtapata
mnoooooWazazi hawana akili
Tena hatari sanaUmbumbumbu ukizidi unatisha 😄
Na hapa ndipo wanaokimbilia ustawi was jamii wanapofeliHata huko ustawi wa jamii hushindi hii kesi...sana sana atasikilizwa huyo Mkweo kipato chake kwq mwezi na kama anaeza kuhudumia atapangiwq kutokana na kipato chake ....kisha mtaambiwa mtoto akifika miaka saba anaenda kwa baba ake kwa sasa aendelee kulelewa na mama ake
Usishangae huko ustawi wa jamii wakamwambia mkweo awe analipa elfu 10 kila mwezi kama hana kipato
Hakuna sehemu ya kijinga kama ustawi wa jamii...Na hapa ndipo wanaokimbilia ustawi was jamii wanapofeli
Vijana washapendana, wao wanaleta unoko. Kama Wazazi walitakiwa kuwapa counseling na kuwawezesha waanze maisha Kisha wawaozeshe maana kijana alietia mimba Yuko serious, ana Nia ya kuoamnooooo
Alobakwa anatoa taarifa siku ya tukio. Maana hajasema kama alitishiwa maisha endapo angesema. Mwenye mimba kajitambulisha na kuikubali. Si jambo alilofikilia bila kumshilikisha mjamzito. Wakaelewana,wakakubaliana. Sasa,tunataka kesi. Wakaombe ushauli kwa Yombo naona hapa JF wamekoseaKama alibakwa mnaweza fungua kesi ila kama hakukua na tukio hilo mkuu mnajisumbua,muacheni aolewe
Sasa ndugu yangu,kwa hili tu! Hamuoni umasikini wa kwanza watu tulio nao ni akili finyu! Ukoo haumtaki mtu. Hawa kesho hata wakiishi,lazima dosari ilishaingia hio ndoa haiwezi kuwa na amani. Watoto wameanza kutoka keahokutwa anafyatuliwa mwigine. Wanakuta wazazi hawako sawa,hawapendwi na ndugu. Upande wa mwanaume,hawajachelewa kumshauli aachane na huyo mwanamke.Vijana washapendana, wao wanaleta unoko. Kama Wazazi walitakiwa kuwapa counseling na kuwawezesha waanze maisha Kisha wawaozeshe maana kijana alietia mimba Yuko serious, ana Nia ya kuoa
Tena inavuruga kabisa, maana Kama nlkua natoa elfu 10 kila Siku, ukienda kunishtaki ntasema Sina kitu kabisa ndo maana sitoi.Hakuna sehemu ya kijinga kama ustawi wa jamii...
vijana wameshiriki kazi ya uumbaji wa Mungu kisha familia mnaipinga na kuikataa kazi hiyo hadharani 🐒Watu wa jukwaa hili habari zenu.,
Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.
Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.
Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Nikwambie usichokijua Sasa,Sasa ndugu yangu,kwa hili tu! Hamuoni umasikini wa kwanza watu tulio nao ni akili finyu! Ukoo haumtaki mtu. Hawa kesho hata wakiishi,lazima dosari ilishaingia hio ndoa haiwezi kuwa na amani. Watoto wameanza kutoka keahokutwa anafyatuliwa mwigine. Wanakuta wazazi hawako sawa,hawapendwi na ndugu. Upande wa mwanaume,hawajachelewa kumshauli aachane na huyo mwanamke.
Maendeleo yanayosemwa yataanzaje na lini?! Yatoke wapi?
Ni kweli,lakini zingatia. Mwanaume hawezi kuwa huru ukweni,hasa kwa hao waliotaka afungwe. Mwanamke hatokuwa huru ukweni,maana atawajua walioshauli aachane na ndugu yaoNikwambie usichokijua Sasa,
Mtoto akishazaliwa ugomvi wote umeisha,
Hakuna mzazi duniani mwnyw guts za kuzuia furaha ya kupata mjukuu, haijalishi kapatkana kivipi[emoji4]
Hahahahaha...hii ilishamkuta mtoto wa baba angu mdg . Jamaa alikua anatoa karibu laki kwa wiki ..ingawa hana ajira kamili...sasa huyo sista akadanganywa saloon huko si akapeleka kesi ustawi wa jamii ..jamaa kuitwa alisema yeye ni boda boda tu na ni deiwaka kipato chake hakizidi elf 50 ....aaarh ustawi wakamuelewa wakamwambia awe anatoa elf 7 mia tano kila wiki ya mtoto..😅😅😅 kesi ikaishq ...mdada sasa full kupayuka full kuapa kwa Mungu wake ila ndio ishakula kwake tena ....sema mwamba smart akawa analeta ile ile laki ...kelele zote zilimuisha sistaTena inavuruga kabisa, maana Kama nlkua natoa elfu 10 kila Siku, ukienda kunishtaki ntasema Sina kitu kabisa ndo maana sitoi.
Hapo ntaandikiwa ile lowest minimum amount kuhudumia Mtoto iliyopo kisheria kwa ile katiba yetu ya mwaka 77.
Kwamba kwa mwezi utatoa debe Moja la mahindi au elfu 15 pesa taslimu.[emoji4]
Nyie wapuuzi kweliWatu wa jukwaa hili habari zenu.,
Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.
Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.
Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Hawa wapumbavu snHahahahahaha..halafu wanataka kumfungulia mashtaka Mkwe wao....hao jamaa wana akili kweli ? ...familia zingine ni taka taka kabisa