Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Kam mmea kulea mimba ya bint yenu katu msimshtaki bab K

Mwambie Baba k awajibke kutoa huduma Tuu .

Mwanao yupo chuo umri wake 18+ han hatia jamaa kwakuw walifany kwa hiyari ulitak mwamba amwagie nje ?![emoji55][emoji55]
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Je umekubali kuitwa mkwe?je Binti ana umri gani?je aliipenda shule?je unafikiri alidhulumiwa au Ali ridhia mwenyewe?
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
JobTrueTrue 🔥
 
Pole sana,kama hataki kutoa matunzo nenda ustawi wa jamiii ,lakini kama ulilenga Sheria ya miaka 30 jela sahau maana hakuna Sheria inayombana huyo mwamba kwakua huyo Binti ni mwanachuo.yeye aombe kuhairisha masomo anifungue baada ya hapo aje aendelee na chuo.naomba kuwakilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.
Ni uamuzi WA kipumbavu Sana Sana huo, wafanyieni counselling na kisha wapatieni support, watajenga familia nzuri na Bora hata kama wakija kuachana (siamini Sana na wala siombei) binti atakua mwenye kujiweza. Mimi Nina mabinti tupu sina mtoto WA kiume kwahio naongea Nikiwa naelewa kile ninachoongea
 
bila shaka mwanachuo ni mtu mzima. Hivyo anachokifanya anakitambua. Nivyema mngekubali aolewe tuu kwasababu aliyokuwa akiyafanya alijua matokeo yake.

Kuhusu kuchukua sheria kwa kitendo Cha kupewa mimba. Sheria haipo upandewenu, kwasababu huyo tayari ni mtu mzima na sio mwanafunzi wa sekondari au shule ya msingi ambaye analindwa na sheria ya mwanafunzi. Hivyo basi hamnasababu ya msingingi kuchukua sheria dhindi ya mtia mimba.

NB: NIVYEMA MKAKAA CHINI MYAMALIZE
Yaaaap ushauri mzuri
 
Pole sana,kama hataki kutoa matunzo nenda ustawi wa jamiii ,lakini kama ulilenga Sheria ya miaka 30 jela sahau maana hakuna Sheria inayombana huyo mwamba kwakua huyo Binti ni mwanachuo.yeye aombe kuhairisha masomo anifungue baada ya hapo aje aendelee na chuo.naomba kuwakilisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba hii ya ustawi wa jamii imekaaje, unaanzaje
 
Naomba hii ya ustawi wa jamii imekaaje, unaanzaje
Hata huko ustawi wa jamii hushindi hii kesi...sana sana atasikilizwa huyo Mkweo kipato chake kwq mwezi na kama anaeza kuhudumia atapangiwq kutokana na kipato chake ....kisha mtaambiwa mtoto akifika miaka saba anaenda kwa baba ake kwa sasa aendelee kulelewa na mama ake

Usishangae huko ustawi wa jamii wakamwambia mkweo awe analipa elfu 10 kila mwezi kama hana kipato
 
Unataka jamaa alipe gharama zote au mnataka nn ikiwa muhusika amekubali ? Kuweki makini isije huyo bint akaungana na mwamba wakaitoa hiyo mimba na nyie mkakosa ushahidi , muulizeni bint amependa jamaa akisema ndio na jamaa yupo tayali kumuowa waozesheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatili wa wanawake wengine, pia tuwe tunaangalia na chanzo. Familia nyingine zinachangia.
1. Huyu jama kama anajitambua,alee mtoto kwa bluetooth,hapa hana wakwe.

2. Mwanamke akitendwa na aliyempa mimba,kwa mikwara ya ndugu na wazazi,nani anaenda kuteseka na kuhangaika?

3. Kwa hiyo,wanamchagulia wa kuzaa nae pia!

Je, wakishitaki na mwanamke akakataa mtu wake kufungwa? Je,shule akiacha akamfata wakaishi?

Siku mambo yakiwakalia sawa, wakijitenga,waanze ohhh,wana roho mbaya,yule tulimsomesha,blabla blabla. Maisha haya!!
 
Tanzania Bado inakundi kubwa sana la wajinga kibaya zaidi ni watu wazima na wanafamilia
Kiongozi mmoja wa nchi jirani,alisema kwamba: duniani kuna wajinga wawili. Kuna mjinga aliyesoma, na mjinga ambaye hajasoma. Akaongeza kwamba yule aliesoma, ndo mbaya.

Yaani unaona raha mwenzio akienda jera. Sasa,mfano huyu angekuwa amegegeda wa Form 4 mpaka 6 si angekuwa keshalambwa shoka kabisa!
 
Back
Top Bottom