Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Mkuu kweli umechanganyikiwa mpaka mdogo wako kwenye title ya uzi anakuwa binti yako kwenye maelezo ya uzi.

Hapo msaada wa kisheria hakuna endapo binti yako ni 18+ kwa umri. Kubali kumuozesha au awe mama wa mtaani. Jibu sahihi nyinyi kama familia mtaamua
 
Sasa,huyo mvulana ndo wa kumlaumu? Binti malezi alopewa,matokeo yake ndo hayo.
Je, alikwambia hakusikia raha? Maana kubakwa,angesema siku ya tukio hapo sawa. Wamepanga,wakaenda wanakojua wenyewe,wakafanya yao,leo hii eti ndugu yako kapachikwa mimba. Eti mwaka wa kwanza chuo kabisa.
-Wanakouza kondom hapajui?
-Famasi zinazouza vidonge vya kuzuia mimba,hajui zilipo!

Je,mnajuaje kama hawajakubaliana kuzaliana?! Mmeumbuka,malezi ovyo,akili kisoda,tena za kupima kwa kijiko cha chai; acha kuweka wazi udhaifu wa ukoo.

Mtoto wa kike ale pilipili,uashwe wewe!!!
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Mlitaka aolewe na nani?
Weka kwanza hizo sababu mbalimbali hapa za kukataa posa ili tujue tunashauri vp
 
Kama mzazi, nakushauri kwa faida ya binti yako, abort hiyo mimba, binti arudi masomoni, binti apewe elimu ya kuzuia mimba maana keshakua ni sexual active
Hiyo,ilishakuwa kubwa. Kwa maana,huyo keshakua mtoto.
Kwa hiyo,washilikiane kuua mtoto asie na hatia. Si ndio?! Na kwa wanaoelewa,mpaka huyo binti anakufa,haweza akawa na akili sawa. Waulize waliotoa
 
Nenda na wewe ukapachikwe mimba ,umbea tu.!

Kama hamtaki ndoa basi ,huyo mtoto anayzaliwa mkimfunga baba ake ina maana anakosa malezi ya baba ake ...Tafuteni kazi za kufanya mnapenda kesi kama wapare.
watakua raia wabukoba hawa wanapendaga kesi balaa afu ukute zee la mimba halina maokoto au sio lihaya wanaona bora liozee jela tu
 
Kama mzazi, nakushauri kwa faida ya binti yako, abort hiyo mimba, binti arudi masomoni, binti apewe elimu ya kuzuia mimba maana keshakua ni sexual active
Hiyo,ilishakuwa kubwa. Kwa maana,huyo keshakua mtoto.
Kwa hiyo,washilikiane kuua mtoto asie na hatia. Si ndio?! Na kwa wanaoelewa,mpaka huyo binti anakufa,haweza akawa na akili sawa. Waulize waliotoa
 
Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Kama yupo over 18, anzeni tu kuchangishana pesa ya nepi...
 
Hakuna tatizo hapo, kwani chuo wanakataza kusoma ukiwa mjamzito, binafsi nimesoma na wajawazito wengi tu wengine walikomaa mpaka wakajifungua Wala hawakupostpone masomo, ukimaliza kipindi unakimbia gheto chap unanyonyesha unarudisha chupi darasani
Acha lugha za dharau kwa wanawake eti unarudisha chupi
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Kwanini amekatiza chuo? Mimba sio ugonjwa, au anasoma veta?
Alibakwa?
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Madai yenu ni yapi aliyepachikwa hiyo mimba katulia nyie kiherere Cha nini au huyo Binti kabakwa?
 
Back
Top Bottom