Kilakitu namudawake
Member
- Sep 6, 2024
- 47
- 115
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.