Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa hakupo hata siku moja midhali kithibitisho cha mkataba kwa njia ya kujaza fomu za kuomba mkopo kipo.
Kibubwa nenda Bank, hasa uliyoanza kuomba mkopo na wakamissbehave wenyewe na kukuletea kiwango cha chini ambacho haujaomba!
Ninadhani hao ndiyo chanzo cha tatizo hili.
Ukienda wataangalia mfumo mzima wapi kulipotokea tatizo na watarekebisha.
Mkopo wa aina yoyote hauwezi kukomba mshahara mzima bila kubakisha 2/3 ya take home kama masharti ya mikataba ya mikopo ya wafanyakazi inavyotaka.
Kama itaonekana ulizidisha kiwango cha kukopa kwa kujua ama kutokujua basi mtabagain nao ili ngapi wakuachie ya kurudi nayo nyubani kuhemelea watoto.
Lazima watakurekebishia makato, hawawezi ng'ang'ania kukata mshahara mzima, sheria haiwaruhusu kufanya hivyo.
Walimu wameingiaje hapo msukuma lakini!!Mkuu, wewe ni mwalimu? Mimi pia ni mwalimu na sina nia mbaya kuuliza hili swali.
➡️➡️➡️ Yaani ulipokuta hela zimeingia, japo kidogo kuliko mkopo ulioomba, we ukaanza kuzitwanga ulifikiri zimetoka wapi? Na ukaenda tena kukopa benki ya pili dah! Nenda kwenye benki zote mbili ukawaambie ukweli. Naamini watakusaidia.
Elimu ya pesa, japo kwa yale mambo ya msingi, inahitajika sana. Pole!
Linaninyima usingiziAchana nalo
MREJESHO: Nimeenda bank ya kwanza..wameniomba radhi kwa kuzuia mshahara wangu. Wamekubali kuwa mfumo ndio ulileta tatizo kitaifa. Wamenionba twende kwa HR ili tukubaliane makato nje ya mfumo. Pia wamekubali kuniekea kiasi cha mkopo walichonipunjaMimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa.
Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la. Nilikuja kushituka baada ya kufanya withdrawal na balance kuwa ndogo kuliko mkopo nilioomba.
Nikawapigia bank hawakunipa ushirikiano. Nikarudi kwenye mfumo wa utumishi nikakuta mkopo umekuwa cancelled. Nikajaribu kuomba tena kwa bank nyingine ikakubali mpaka hatua ya mwisho na pesa nikazitumia. Zote za bank ya kwanza na ya pili.
Tatizo limekuja sasa. Kila mshara ukiingia nakuta balance ni 0. Na bank ile ya mwanzo wanataka niende kuboresha taarifa za akaunti yangu
Nahisi watanifunga. Ila pia sina mshara mwezi wa pili sasa..Hali ngumu. NIENDE AU NIJIKAZE MPAKA PESA YAO WAIRUDISHE KWA KUNIKATALIA MSHAHARA
Nimeenda na nimeandika MREJESHO hapo juu.. nashukuru mkuu kwa mawazo yako muhimuSalary slip iko poa kivipi?
Kinachosoma kwenye salary slip unamaanisha ni tofauti na kinachotakiwa benki?
Nimeenda na nimeandika MREJESHO hapo juu.. nashukuru mkuu kwa mawazo yako muhimSalary slip iko poa kivipi?
Kinachosoma kwenye salary slip unamaanisha ni tofauti na kinachotakiwa benki?
Bank wameelewa. Kwanza wao ndo wamekubali makosa kwa maana niliwataarifu ila hawakuzingatia.. Asante kwa mawazo mazur hata hivyoWalimu wameingiaje hapo msukuma lakini!!
Sema Aalitakiwa asitumie hizo pesa tofauti na kiwango alichoomba yani kakuta tofauti ye nae bila kuhoji kazifakamia tu !
Ile bank ya mwanzo watakua wanakata hizo pesa zao ndogo walizomuingizia kabla hawajacancel
Na hio benki ya pili nayo wanakata chao hapo lazima aisome namba!
Pole yake sana asee
Cc Smart911
Alidhani mkopo ni sadaka.Mkuu, wewe ni mwalimu? Mimi pia ni mwalimu na sina nia mbaya kuuliza hili swali.
➡️➡️➡️ Yaani ulipokuta hela zimeingia, japo kidogo kuliko mkopo ulioomba, we ukaanza kuzitwanga ulifikiri zimetoka wapi? Na ukaenda tena kukopa benki ya pili dah! Nenda kwenye benki zote mbili ukawaambie ukweli. Naamini watakusaidia.
Elimu ya pesa, japo kwa yale mambo ya msingi, inahitajika sana. Pole!
Kesi tena mkuu..wamenirudishia mshahara wangu wa miez miwili tayari.. hakuna haja ya kesi tenaKawashitaki maan wamekukata zaid ya 1/3 ya mshahara wako , wew huna makosa , makosa either ni ya mfumo
Usiwe ivo..Alidhani mkopo ni sadaka.
Mkopo siyo sadaka kamwe. Mkopo ni Deni.