Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili


Maelezo mazuri. Nimependa jinsi ulivyomalizia, na ndio hasa dhumuni langu kubwa. Kuwepo na platform moja ambayo jamii itaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa na kuchota elimu na mitazamo mbalimbali kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.

Shukrani.
 
Halafu ufaidike nini sasa kwa kutajiwa hayo maneno?
 
Halafu ufaidike nini sasa kwa kutajiwa hayo maneno?

Nimejibu hilo swali katika bandiko zangu za nyuma. Naomba usome bandiko la kwanza kabisa. Usipoelewa, nitajaribu kukuelewesha kwa namna nyingine.

Asante.
 
Bluetooth= meno ya udhurungi.

Utakuwa mjadala wa kufikirisha na kufurahisha sana ukisoma mapendekezo ya watu.

Baada ya kutoa pendekezo lako ikanifanya na mimi nifikiri kidogo.

Kwa kufuata muendelezo wa tafsiri ya Smartphone kuitwa Simujanja, kwa maoni yangu mimi Bluetooth tafsiri yake iwe Wayajanja, (waya-janja). Kwanini nimetafsiri hivyo?

Wote tunajua kazi ya bluetooth, inawezesha mawasiliano ya vyombo bila kugusana. Kwa maana hiyo kwasababu tunatumia waya katika mawasiliano, ndio maana nikaja na pendekezo hilo.

Tuendelee
 
Technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…