Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

HAR MONIZE

DIA MOND PLAT NUMZ

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwanini iwe "waya janja" na isiwe "waya hewa"?
 
Mkuu unafanya utafiti hapo time ya Kiswahili, ?
 
Kiswahili ni lugha ya kuunga unga sana sijui kwanini tunaikumbatia
hakuna mtu anayeongea kiswahili chenyewe kile fasaha hapaπŸ˜‚ maisha yangu yote komwe nilikuwa najua ni sehemu ya uso mpaka pale kiswahili kiliponishangaza
 

Attachments

  • 2AD4015A-73FE-4750-A8DC-4735A8595608.jpeg
    57.5 KB · Views: 4
  • AEEF884F-8E43-4E03-9861-414AED4A35F7.jpeg
    64.7 KB · Views: 5

Attachments

  • 7C2EAFB1-3217-4751-B434-68A7C77E03B2.jpeg
    55.6 KB · Views: 4
  • F6B02122-270C-43FB-B510-92C0D7E14BBA.jpeg
    140.5 KB · Views: 5
Hakuna neno lolote la kingereza ambalo halina kiswahili chake. ,, mbinu maneno yote yametafsiriwa kwa michakato mbalimbali. 2. Kuhamisha moja kwamoja, kuswahilisha, unaweza kusoma michakato ya Tafsiri kwa maelezo zaidi
 
Imagine KKS NA KDS kwenye hesabu eti ni kigawe kidogo cha shirika common multiple factor.
 
Hii itakuwa kali. Sina uhakika kama kuna tafsiri rasmi lakini natamani kuona mapendekezo ya jamii yatakuwaje.

It will be fun!
Napendekeza bluetooth iitwe jongeohewa. Mfano wa sentensi Nirushie huu wimbo kwa jongeohewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…