Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Hata mm hiyo ishu nilikutana nao
 
Wakuu kwema?

Hivi kuna mtu pia anapitia au amewahi pitia hii kadhia ya kujisajili kwenye mfumo wa ajira portal? Ukiweka Email na password mara ya kwanza inachukua taarifa kisha haikupi notification kuwa umekuwa successful.

Ukija kurudia inakwambia email ishatumika huwezi sajilia tena! Ukienda Log in inakwambia “account inactive!” Ulipambana nalo vipi hili maana kuna mtu najaribu kumfungulia hapa inanletea mabalaa tu.
 
Nenda kwenye email waliokutumia ukaactivate
 
Mbowe huwa anasema tatizo ni mfumo nafikiri tumejionea, tudai katiba mpya🤣

Tukirudi kwenye maada, huo mfumo utakuwa unatatizo kwenye sehemu inayotuma email (mailing system) inawezekana wametuma email nyingi na quota (bando) walilokuwa nalo limeshakwisha, au email zao zinaingia kwenye spam folder kutokana na sababu mbali mbali za kiufundi.

Jaribu kuangalia kwanza kwenye spam mail uone kama kuna email yoyote umetumiwa, kama ipo fuata maelekezo yake, ikigoma itakuwa ime-expire.

Jaribu kwenda kwenye sehemu inasema forgot password, weka email uliyojisajilia uone kama watakutumia link yoyote.

Yote yakishindikana fungua akaunti mpya tu kwa email nyingine uone kama itafanya kazi.
 
Weka link ili tuone kama kuna namna ya kukusaidia
 
Ingia kwenye email yako kisha activate baada ya hapo inakuwa active
 
Hahahaha mfumo kweli ndio tatizo
 
Mtaalamu bado unapambania ajira za utumishi, kule bila mlungula ni nguvu labda itokee tu Mungu aseme upate kazi utapata bila hivyo utapiga jalamba kwelikweli...
Hahaha amna bana kuna rafiki wa bibie ndio anaomba msaada wa kufanyiwa makarateka mi nimekubali yaishe napambana na mahindi ya kuchoma hapa external 😎
 
Hahaha amna bana kuna rafiki wa bibie ndio anaomba msaada wa kufanyiwa makarateka mi nimekubali yaishe napambana na mahindi ya kuchoma hapa external 😎
Nikajua upo dubai ya simu dar hapo makumbusho karibu jackies tunywe nyagi.
 
Na hata kupata 'Ajira' huko ni Shida pia.
 
Pambaneni wakuu mkae data base kwenye hizo nafasi 2 mnazoitwa hata 200 ,wengine tumechomokea humo bila hata kupata connection.
 
Habari zenu wadau.

Kuna tatizo linanipata san kila ninapoomba kazi za ajira portal kunikatalia. Inasema sina vigezo na ilhal vigezo vyote ninavo naomba msaada wenu katika hili.

 
Umejaza taarifa zako kwa asilimia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…