Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Umesoma kozi gani ndugu
Na ulikuwa unaomba kada gani?
Tatizo linaweza kuwa hapo
 
Umesoma kozi gani ndugu
Na ulikuwa unaomba kada gani?
Tatizo linaweza kuwa hapo
Ukijibu swali hili utakua umesaidia sana utatuzi wa tatizo lako.

Shida ipo kwenye "professional qualifications" hapo, huenda kuna vigezo vigezo vya hiyo kazi hauna.

Kumbuka kwamba kuna tofauti kati ya professional qualifications na academic qualifications.
 
Habari zenu wadau.

Kuna tatizo linanipata san kila ninapoomba kazi za ajira portal kunikatalia. Inasema sina vigezo na ilhal vigezo vyote ninavo naomba msaada wenu katika hili.

View attachment 1826262
Angalia tangazo lipo kwenye category gani kisha nawe kwenye profile yako weka katika category hiyo hiyo
 
Jaman kila nikitaka kutuma maombi ajira portal inaniandikia hivyo
Screenshot_20210629-090827.jpg
 
Na hivi huwezi kufuta academic qualifications bc ni shida kweli kweli
 
Kuna ajira zimetangazwa kupitia recruitment portal na kuna kipengele vigezo vyote wanavyovitaka nime fikia lakin nikifanya process ya application inaniletea huo ujumbe. Mwenye kufaham jinsi ya kutatua anijuze tafadhali

Screenshot_20210820-074755_Chrome.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
May be umevuka level moja. Labda wanataka diploma we una degree.
 
Zipo uzi nyingi zinaelezea hy ishu fatalia utapata jibu. Kwa ufupi n kwamba vigezo na masharti hujazingatia hasa kwenye academic qualifications
 
Habarini za majukumu ndugu zangu.

Nafanya maombi ya kazi ajira Portal lakini kila nikienda sehemu ya kuapply naambiwa "Check required accademic program""

Na nimejaza na kuatachi kika kitu na kufika 92.

Kwa mwenyewe uzoefu anisaidie tafadhari.

Screenshot_20210821-104355_1.jpg
 
Usije kuwa unaomba kazi ambayo itaka qualification za Diploma wakati wewe una Degree au vice versa!
 
Mjuzi atusaidie mimi mwenye ina 92%ila kila nkijaribu kuomba kazi inaniandikia failed
 
Em tuandikie hapa academic qualifications zinazohitajika kwenye hy kazi na pia tuambie kwenye cheti chako imeandikwa vipi
Itapendeza kama ukiweka screenshot na hizo academic qualifications za kwenye kazi ili usaidiwe kirahisi
 
Back
Top Bottom