Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?


Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki


Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie

Napendelea zaidi kupata soft copy zake kwa anayefahamu zinapatikana wapi

Aksanteni sana na Mungu awabariki
 
Zipo nyingi sana na zenye maudhui tofauti tofauti, shida inakuja kujua unapenda zipi.
 

 
Back
Top Bottom