Naomba sifa za wanawake wenye tabia ya kuona aibu

Inatokea hiyo kutofautiana interests na watu wa karibu
Hata mie pombe situmii kabisa wakati 'marafiki' zangu wanatumia
Watu walikuwa hawaamini kabisa kama sinywi, na vile ni mchakaramu watu wanajua huyu kaishapiga "SODA MUELEKA"
 
Ke mwenye aibu anapendeza sana,

Kwenye kugongwa happ hujanielewa, aibu na uoga vinalandana ni rahisi wahuni kumtumia na kumjeruhi ndo happ anakuwa mbogo, wanaume mkipata ke mwenye haiba za kike km hizo aibu nyingi msimuachanize walimwengu wakatumia aibu zake kumuumiza, akibadilika anakuwa wa tofauti kabisa

Eyes contact na mwanaume iwe kimahusiano au kawaida tu mpaka leo imenishinda siiwezi, ila sasa akinikera nikawa na hasira hapo naweza kutazamana nae, tuiiteje hii

Mmakonde atakuwa kashachachuka huko alipo anamwaga mauno km kichaa
 
[emoji817]
 
Nakubaliana nawe
 
Nina aibu lakini sio chumbani bro,wewe cha kufanya chumbani nipe giza tu ( iwe usiku ama alfajiri kabla ya hakujakucha)

Hizo styles zote anazipata

Ukiwasha taa hunipati wallah!
🤣🤣ila Joanah una nini lakini eti hakupati
 
Ngoja kwanza nile PILAU la mwaliko nitarudi 😂🤣
 
Kama wifi yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…