ulinihakikishia usalama sana najiamini ukiwa around..Uzuri nyeti zako zipp salama, sijaziona😅
🤣🤣🤣 iwe really tu, hawa viumbe wanajua kuigiza balaaa🤓Katika namna nzuri. Mimi napenda binti asinitungulie macho kama paka shume, napenda aniangalie kwa kuniibiaibia tena kwa macho malegevu.....hapo ndo napata hisia isiyo na kikomo.
Mwanamke kunitungulia macho kama Kingwendu kunanikata sana stimu.
Sema inaonekana kama vile anampelekesha sana jamaa yake,halafu yeye ndio mwenye maamuzi,Jivunia sana hiyo hali aisee! Ni adimu kwa wengi.
Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
Mimi sina tatizo hata akiniigizia. Demu kuniangalia kwa macho makavu kama agent wa CIA ndo kitu sipendi.🤣🤣🤣 iwe really tu, hawa viumbe wanajua kuigiza balaaa🤓
Unanichokoza😅😅ulinihakikishia usalama sana najiamini ukiwa around..
Mkuu hebu kuwa na msimamo!Haya ndio mapenzi sasa,
Hamu hua ni tamu kuliko tamu yenyewe.
Hapo kweli anakosea aisee! Mimi nataka demu mwenye aibu aibu lakini kila nikitaka kula tunda hata kwenye majaruba ya mpunga niwe napewa.Sema inaonekana kama vile anampelekesha sana jamaa yake,halafu yeye ndio mwenye maamuzi,
Yani hata kula tunda tu eti mpaka giza liingie utafikiri mtu anakula tunda la wizi bhana.
😀😀
umeshambadilikia! hebu kuweni na misimamo!🤣Sema inaonekana kama vile anampelekesha sana jamaa yake,halafu yeye ndio mwenye maamuzi,
Yani hata kula tunda tu eti mpaka giza liingie utafikiri mtu anakula tunda la wizi bhana.
😀😀
Hata sijambadilikia ila tunaangalia pande zote mbili,umeshambadilikia! hebu kuweni na misimamo!🤣
nimefanya nini tena papi🫣Unanichokoza😅😅
Safi kabisa,Hapo kweli anakosea aisee! Mimi nataka demu mwenye aibu aibu lakini kila nikitaka kula tunda hata kwenye majaruba ya mpunga niwe napewa.
Dah kuwaelewa nyie nao ni kazi sana🤭Hata sijambadilikia ila tunaangalia pande zote mbili,
Ujue kila jambo hua lina faida zake na hasara zake pia.
kama ni born kati ya wa 12 na wa kwanza au jina v au j ni asili yake tu na ili aibu zimtoke ni hadi akuzoee.Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
sometimes inakuaga kamchezo flan iv amazing, akikutumbulia aumkwepeshi kama polisi kamwona mwizi 😁Mimi sina tatizo hata akiniigizia. Demu kuniangalia kwa macho makavu kama agent wa CIA ndo kitu sipendi.
Popote Kambi.Safi kabisa,
Mwanamke wako lazima aijue ile slogan ya Ikisimama panda.
ni capricon au ?.Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
huto mjua ktk maisha yako yote. pia na hao marafiki zake hawawez mjua. Kiufupi watu hao hawasomekag milele.Nina mwanamke wa namna hii nimeshindwa kumsoma kabisa mwenendo wake.nataka nitafute rafiki zake 2 hivi nipate a.b.c juu yake ninahisi kuna mambo anaficha nisimjue zaidi.
Dah! mademu mengine wanamacho mekundu kama jumanne Muliro, halafu unakuta kapanda hewani kama Pawa Mabula. Ni shida tupu!sometimes inakuaga kamchezo flan iv amazing, akikutumbulia aumkwepeshi kama polisi kamwona mwizi 😁
endelea kukaza fuvu tu miss 😁Dah kuwaelewa nyie nao ni kazi sana🤭