Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

Unaweza kusema ndoto hazina maana ni mawazo tu tuliyonayo ndio hupelekea kuota ndoto ila tunaona kuna watu kupitia ndoto walizoota kutokana na mawazo waliyokuwa nayo wameweza kupata idea ya mambo yaliyokuwa wakiyawazia, mfano Elias Howe aliyegundua sewing machine aliota ndoto ambayo ilimpa idea ya kuunda sindano yenye tobo ni baada ya kuangaika sana.
 
Kama ndoto inatokana na mawazo ambayo mtu alikuwa nayo kabla ya kuota, huwezi kusema mtu kapata idea kwenye ndoto, kwa sababu hiyo ndoto yenyewe kaipata kutoka kwenye mawazo aliyokuwa nayo.

Inawezekana ndoto imemsaidia kuyawaza mawazo hayo vizuri zaidi kwa kuwa katika subconscious mind, ni namna fulani ya kufikiri ambayo iko katika an isolated world, na hapo siwezi kukubishia kusema ndoto haina maana wala value kwa sababu ina hiyo element ya kuwa katika isolated world.

Lakini hupati idea kutoka katika ndoto, kwa sababu ndoto, despite being in an isolated dream world, haitokei in isolation, inatokana kwenye mawazo ya kila siku.
 
Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
 
Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
Tatizo unauliza swali lako ukiwa na jibu tayari, ukioata jibu tofauti na ulilotamani hulitaki.

Unataka kupata jibu la ukweli ulivyo au unataka kupata jibu unalotamani?
 
Hio ndoto maana yake “you missed an opportunity” na ndiomana ulijiskia huzuni! Kuna tatizo kwenye maisha yako (Spiritually) zidisha sana ibada pia kama ni Muislam search on google Tafsiri ya hio ndoto in Islam upate ufafanuzi zaidi
👋👋👋👋👋👋👋
 
Binadamu wana mbinu nyingi sana,ninacho amini ulikua una mpango wa kusafiri au umetoka kusafiri muda sio mrefu
Jaribuni kua na koromeo sio kila kitu cha kupost humu kwaio na abiria wa boda akiota kakimbiwa na boda wake aje kupost?

Ndoto tu hizo zinatokana na pirika zako hmna jipya
 
Tatizo unauliza swali lako ukiwa na jibu tayari, ukioata jibu tofauti na ulilotamani hulitaki.

Unataka kupata jibu la ukweli ulivyo au unataka kupata jibu unalotamani?
Even more confusing
Uhalisia ni upi
Nimekosa fursa ipi ama nilikuwa nafosi fursa😃
 
Kwa muktadha huo huoni kuwa si sahihi watu kusema ndoto kuwa hazina maana kabisa na kusema tuzipuuze? Maana hapo tumeona tunaweza kufikia our subconcious mind kupitia ndoto.

Lakini pia kuhusu ndoto kutokana na mawazo ya kila siku hiyo sio kama ni hoja ya msingi kutumia kusema kuwa ndoto hazina maana, ina maana ilitakiwa tuote mambo gani ambayo ni mbali na mambo yetu ya kila siku kwenye maisha yetu ili ndio tuone ndoto zinaa maana? Hata hivyo kuna wakati tunaota mambo ambayo hatuyawazii kabisa kiasi kwamba hata tunapoamka tunashangaa kwanini nimeota jambo fulani au mtu fulani hali ya kuwa huwazii hilo jambo au huna hata ukaribu au mawazo na huyo mtu.

Kuna wakati unamuota mtu ambaye sio tu humuwazii bali ulishamsahau kabisa, kuna wakati unaota ndoto unafanya mapenzi na kaka yako au dada yako kitu ambacho hakipo kabisa kwenye mawazo yako. Kifupi tukisema tuziangalie ndoto zenyewe zilivyo tunapata shida sana kukubali hoja ya kwamba ndoto ni mawazo ya kila siku tu.
 
Contents za ndoto vs context ya majibu ninayotamani viko tofauti
Kuna vitu haujafunguka ni ngumu watu kuweza kukusaidia kupata uhusiano wa hiyo ndoto na maisha yako, sababu hiyo ndoto inaweza ikawa inahusika na issue nyengine kabisa kwenye maisha yako tofauti na hilo jambo ambalo umekuwa ukiomba kutaka upatie ufumbuzi.
 
Aisee kuwa makini na waafrika ni watu wabaya sana,mimi kuna kipindi ilikuwa nasafari ya kwenda Cyprus...kabla ya safari nikaota passport yangu imekwanguliwa na wembe ..yaani maandishi yote ya kwenye passport yamekwanguliwa.

Kwenye ndoto nikambananisha mdada mmoja nakumbuka akaniambia ni kurusumu ndio amekwangua passport yako

Hii mijitu meusi ni takataka..chunga sana..ndio maana wazungu inayaua huko nje.

From there mpaka sasa safari iliyeyuka from no where.
Ni hatari..chukulia sereous.
 
Duuh Mkuu ndoto katika ulimwengu wa roho zina tafsiri sana! Na ni vizuri kuwa tunakumbuka hasa zile ndoto zilizobeba ujumbe!

Sasa kwa hiyo ndoto yako ni kwamba; Kuna promotion inahitaji kutokea kwako kama Kupata kuongoza wenzako sasa kitendo cha kwenye ndoto kusahau passport ni kwamba hiyo promotion eidha ni kazini au sijui wewe ufanya kazi gani au kuna safari inatakiwa kuja kutokea kwahiyo hapo hicho kitendo ni kwamba kwa upande wako kuna kipingamizi inaweza isitokee.
Jitahidi kuomba na kuombea hilo mkuu! Hiyo ni meseji kutoka katika spiritual realm!
Take care
 
Usidanganyike, ukiota ndoto meaningful kama hiyo na bado moyo usitulie fahamu kwamba hujapata maana ya ndoto na hiyo ndoto ni sauti ya Mungu Kwa maisha yako.
Farao aliota ndoto ya ng'ombe 7 walionona kuwameza ng'ombe 7 waliokindo pia Kwa msisitizo akiona masuke 7 n.k
Ninachotaka kusema Kwa ufupi sana, ndoto yako Ina maana kubwa katika maisha yako.

Maana yake ni kwamba, Umekua ukijihesabia ukamilifu na kuacha kumtegemea Mungu, sasa kuna uharibifu unakunyemelea au umeshaa kupata tayari hivyo, rudi Kwa Mungu muombe yeye daima na mtangulize yeye maana wewe Kwa akili na uwezo wako huwezi na vitakuangusha vitu vidogo unavyoona unavimudu.
 
Hatari... Mwakasege anasema omba baada ya ndoto, usiiache iende bure.

Hopefully na wewe ulifanya hivyo.

Ndoto yako ni sawa na ile ndoto ambayo mtu anaota siku ya kufanya mtihani shuleni lakini anashindwa kuwahi kwa maana anachelewa au anawahi ila kuna mambo yanatokea anashindwa kufanya mtihani huo.

Ni sawa na mtu anaeota anatembea kwenye njia ya mabonde na milima ila anakutana na mlima ambao anashindwa kupanda ili amalize safari yake.

Na zinginezo za namna hiyo...

Sijajua kama huwa unaamini kwenye hayo mambo ya ndoto au laa, ila kama hauamini nakushauri endelea kukaa upande huo na usiiweke akili mwako.

Ila kama huwa unaamini mambo hayo basi ndoto yako imebeba ishara ya kikwazo ambacho kinakujia siku za hivi karibuni na inaonekana ni kikwazo ambacho huwezi kukiepuka.

Hii inaweza ikawa ni kikwazo cha moja kwa moja kwenye mambo yako unayoyafanya inamaana kama kuna deals ambazo zitahitajika kuclosiwa zinaweza zisiende sawa kama unavyotarajia au kuna kakipindi kagumu utakaface siku za usoni.

Anyways, kama ndivyo itakavyokua basi utaiota tena na tena hiyo ndoto ila kwa namna tofauti tofauti zenye maana moja.

NB: nimeandika kutokana na uzoefu wangu wa ndoto za namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…