Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kaka mbona hao mademu ukiwaigizia huna kitu hawataki mzae!!!!Inaonekana bro alikua anaonyesha hali yake ya kiuchumi waziwazi!!!!!!Mimi wadada waga nawaambia mimi dereva wa daladala a.k.a day worker(DEIWAKA)🤣🤣🤣🤣Kesho yake au baada ya mda mawasiliano yanapungua au nakuta wameniblock naishia kucheka maisha yanaendeleaMwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu
Dada tuna hela ila zina matumizi mengi sio kuzaa zaa na wadada wengi bila mpango!!!!Lakini nawakubali mnajua kulenga pale penye maslahi😂😂😂😂😂😂😂Niliona kwa mzee machache na dada jaki!!!
Kitu kizito mkuu .....got realized them ni [emoji3103] to [emoji3103]Mwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu
Dah! Nmemuonea huruma jamaa[emoji26]Mwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu cha kizungu kilishakufa alipangiwa masaki na hiko kibabu, baada ya miezi miwili mwamba akapewa tena dola buku mbili,
Ilikuaje chief[emoji4]Mimi najuta mpaka kesho
Wanajifikiria wao tuu.....very selfish creaturesWadada wengi Njaa sana
Indeed. Tena ndo ukute maisha yamekunyookea utajutaWanajifikiria wao tuu.....very selfish creatures
PoaWsnsume acheni uoga, mtoto ni utajiri kwa mwanaume. We zaa hata wakifika 20 hakuna shida
Sio kwa kila mwanamkeWsnsume acheni uoga, mtoto ni utajiri kwa mwanaume. We zaa hata wakifika 20 hakuna shida
Napendekeza huu ndio uwe mjadala baada ya DP worldDNA ndo mpango
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyoo mwanamke akikwambia anajiweza umepa mimba tu atalea unakubali??? Oyaaa hujawahi kuchanganyikiwaa jaribuHizo issue wana mshanisanua sitaki tena kuzaa kwa mihemko na hawa wanao sema wana jiweza.