Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kaka mbona hao mademu ukiwaigizia huna kitu hawataki mzae!!!!Inaonekana bro alikua anaonyesha hali yake ya kiuchumi waziwazi!!!!!!Mimi wadada waga nawaambia mimi dereva wa daladala a.k.a day worker(DEIWAKA)🤣🤣🤣🤣Kesho yake au baada ya mda mawasiliano yanapungua au nakuta wameniblock naishia kucheka maisha yanaendeleaMwanangu ni chotara fulani wa kijerumani aliombwa awe sperm donor akachomoa, baada ya mwezi akapewa dola buku mbili na demu ili alegeze msimamo wake lakini akachomoa tena na hela akala, demu ni single mama alizaaga na kibabu