Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Huenda Huna hela ndio maana humsikii. Siku ukizishika atatimbaKuna mmoja tangu mwaka juzi ananiambia niko tayari kuzaa,mimi nikajua utani nikamuuliza na nani akasema na mimi,mwaka jana hivyo hivyo nikajua utani.Mwaka huu kajipa mimba yangu ndo nikakumbuka yote sasa hivi analea
Mkuu sio simsikii hapa sina akiba napata hela tunakula na kulea tu,nisharudishwa nyumaHuenda Huna hela ndio maana humsikii. Siku ukizishika atatimba
Wamekuwa walemavu mkuuUtajutraa?
Wanaume wa dar punguzeni vimisemo.
Pawepo na maandishi ya kisheria labda kuwa yeye atalea na sperm donor hutakuwa na msmlska na mtotoKama umeoa, usijaribu, huo ni mtego wa wanawake walio single. Eti nipe mimba kuhusu kulea usijali, sitakusumbua. Ukijiingiza mkenge umekwisha.
Usumbufu wake si wa kawaida. Umetulia na wife inaingia video call mtoto katangulizwa MbeleKuna binti mmoja mwaka huu aliniambia maneno kama hayo kwamba anataka kuzaa na mimi nikawa bado namtafakari,kumbe itakuwa alinifanyia assesment ya kipato changu.
Hapo mmenifungua masikio wadau,ndio maana kuna watu huwa wanapotea na kutelekeza watu waliozaa nao kumbe ni kwa ajili ya kuhofia huo usumbufu
Usumbufu wake si wa kawaida. Umetulia na wife inaingia video call mtoto katangulizwa Mbele
Hili nalo neno!Hata ukitumia ndom hakikisha unaondoka na shaha.wa zako maana wengine wanazichukua na kujiwekea ili tu akudhalilishe (kwenye DNA mtu mzima unakumbuka mapema asubuhi)
Kulia huko kwio!Kujutra ni kulia kunakochanganyika na kwikwi pia kunafanana na kulia kwa mtu mwenye kigugumizi
ATMHuyo aneyesema hatakusumbua kila week anakugema sio chini ya 80K halafu ujikute unakubali, hivi una akili kweli wewe?πππ
Hahahahaaaa mzee baba nimejikuta nacheka sana. Walitaka kukuingiza kingi machale yakakuchezaIlinitokea hiyo ,nilijiuliza maswali mengi sana magumu, mtoto atalelewa vipi bila baba, jibu nikaona naingizwa mkenge, nikapotezea
Sent
hahaaaa halafu akipiga hivyo anachoongea hata hakina maana,mara oooh junior anawashwa ulimi jioni uje umuoneUsumbufu wake si wa kawaida. Umetulia na wife inaingia video call mtoto katangulizwa Mbele