"Naomba tuzae sitakusumbua kulea." Hii haipo

Aisee,unabahati sana ..ukiona mwanamke anakutafuta Kwa kutumia gharama kubwa ujue kuna kitu hakipo sawa hapo...
Kuna mmoja aliniwekea ofa ya kiwanja Kigamboni, mara naanza kusikia stori za kaungua, ikabidi nivute handbrake mwaka wa tatu saivi najitafakari mbele trafiki, nimevuka zebra na sina bima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke akikupenda lazima akutegeshee mimba... Kuna mmoja siku hiyo nilihisi kabisa nimemwaga ndani nikampa hadi hela ya P2...

Yaani huyo mwanamke alikuwa anajua kabisa mimi nina mke na aliniambia anamuogopa mke wangu, ila yuko tayari kuwa mpango wa kando na hawezi kujaribu kuharibu uhusiano wangu na mke mkubwa.

*****, siku moja nikashangaa naletewa Mimba, yaani siku hizi tunalea na anataka nimuoe...

Wanawake huwa wanaongeaga na shetani directly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu usitudhalilishe. Yaani sisi wanaume tuwe wajinga, are you even serious?!

Jambo moja ni kwamba sisi wanaume tupo loyal that's all.... Loyalty sio ujinga ni consideration. Sasa tukiwa makauzu si ndio unaona Ma'single mother mnawajaza mtaani huko?!

Acha kuchanganya habari bwana.
 
Juzi tu nimetoka kuikwepa moja ilikuja na gia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…