The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajifanya Jamaa Fulani Mjuaji
Gentleman,Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi