Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

Sijabahatika kuziona hizo jerseys, ila kama rangi za jerseys zilishabainishwa, na jerseys zilizoletwa hazijafuata rangi inayotakiwa, basi kitendo cha uzinduzi wa hizo jezi ni ultravires and thus invalid kwa kuwa wameenda kinyume na articles & memorandum of association..!
 
Yanga ina katiba,sio memorandum of association
 
Back
Top Bottom