JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hata ukipigia hiyo tu hesabu ya 180,Crown ipi ? Lakini pia crown zina limit 180 kmh. Kuna Crown Majesta zenye engine ( series UR ). Moto wake sio wa kototo
Unless useme zina horse power zinazofanana au kukaribiana.Ukiikuta Polo ina Direct Shift Transmission hakuna Crown wala Mark X inatia mguu. Upo sahihi kabisa.
I stand to be corrected.
Tukipanga Ranking zinaanza gear ratios ndio zinafuata habari za HpUnless useme zina horse power zinazofanana au kukaribiana.
Sijui.ZF transmission zipo bongo?
Hawashindanishi magari kwa kuwa unaipenda aina flani ya gari. Hiyo Crown Majesta ina 345HP na ina gear 8 auto. Uzuri ina speed limit ya 180.. Pia jaribu kupambanisha gari zenye mlengo unao fanana, Golf R ni racing edition, pambanisha na racing edition za toyota piaHuyo Majesta atapewa Golf-R HP 315 atakaa pia
Hiyo Golf-R yenye 315 HP , Inaweza league ni Supra yenye 382 HP ? Linganisha gari zinazo endana, kama racing zote ziwe racing.Huyo Majesta atapewa Golf-R HP 315 atakaa pia
*Na hii ni point ya msingi sanaHiyo Golf-R yenye 315 HP , Inaweza league ni Supra yenye 382 HP ? Linganisha gari zinazo endana, kama racing zote ziwe racing.
View attachment 1694786
Huu msumari ni wamoto sanaHiyo Golf-R yenye 315 HP , Inaweza league ni Supra yenye 382 HP ? Linganisha gari zinazo endana, kama racing zote ziwe racing.
View attachment 1694786
Haka kagari VW Polo 2007 nimekakubali sana sana kwanza cc 1300, millage 34k/km speed 220km/h pia kodi yake TRA(TRA CALCULATOR) ipo chini around 5m
Naombeni ushauri hukusu changamoto za hii gari kabla sijaivuta.
View attachment 1599348View attachment 1599348
Kusema manual ni slowest, it depends with who is behind the wheel bro! Kunae chalii wa Frisby ni kichaa hapo kwenye gear na clutch! Unaeza sema nae ni part ya transmission na anakalisha automatic BMW vizuri kabisa tena li V8!You are missing a point mkuu.
Gari kutembea is not about your engine. Japo wewe umezungumzia kukimbia kwa perception ya engine pekee....
I stand to be corrected.
Hahahah aiseeee... Hilo balaa....Kusema manual ni slowest, it depends with who is behind the wheel bro! Kunae chalii wa Frisby ni kichaa hapo kwenye gear na clutch! Unaeza sema nae ni part ya transmission na anakalisha automatic BMW vizuri kabisa tena li V8!
Upo sahihi kaka,Kikubwa umpate anayejua kuzipanga kweli gear na uzuri ni kwamba transmission ya manual ni more lighter than auto trans. hvyo inapunguzia gari mzigo wakati wa kukimbiaKusema manual ni slowest, it depends with who is behind the wheel bro! Kunae chalii wa Frisby ni kichaa hapo kwenye gear na clutch! Unaeza sema nae ni part ya transmission na anakalisha automatic BMW vizuri kabisa tena li V8!
Kapikipiki huwa na piston moja tu lakini huweza kuipita gari na pikipiki hiyo usiione tenaAnha, thanks kwa facts za namba pia. Naongea kwa experience boss wangu...mimi once nlidrive mark x (ya rafiki yangu) tulikua tunaelekea Iringa tu apo and my friend yeye alikua anaendesha Polo yake tu safi. Time tunarudi we had to exchange the cars basi hata na mimi nifeel something inside that German toy. Believe me or not me nlimtangulia for 1 hour before kaka.
Anyway, i can say labda inategemeana na who is behind the wheel. But for the two comparisons i'd always go for Polo VW.
Hawashindanishi magari kwa kuwa unaipenda aina flani ya gari. Hiyo Crown Majesta ina 345HP na ina gear 8 auto. Uzuri ina speed limit ya 180.. Pia jaribu kupambanisha gari zenye mlengo unao fanana, Golf R ni racing edition, pambanisha na racing edition za toyota pia
Rumion..Gari gani?
Okay. CVT pia ipo vizuri kwenye kuchanganya kuliko Convential Automatic transmission.Rumion..
CVT transmission
Unalinganisha na Crown ipi ? Maana kuna Crown Athlete zina HP kubwa kuliko hiyo. Issue hizi zimewekewa ukomo kwenye speed . Pia Golf GTI hazifanani na Crown. Na ingawa mie nikishaka Crown na wewe GTI chini ya 180 kmh, lazima utoke jasho..Mimi nilikua naweka Golf GTI 200HP na Crown 2500CC ...wewe ukaingiza Majesta gari ambazo tofauti kiuwezo,Majesta engine kubwa V8 ile.