Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
1. Kupanua uzalishaji wa Bidhaa maana yake ni kua bidhaa unazozalisha ni chache kuliko mahitaji ya clients wako. Kama bado unastruggle kupata clients, njia 1 na rahisi ni kuadd new features kwenye product yako ambayo wengine hawana, hata aina ya packaging pekee inaweza kukutofautisha, pia kuangeza quantity kwa bei ile ile.
Unajua kwenye biashara kitu cha kwanza kbs ni kuWin people's hearts, then ukitoka hapo ndio uanze kufikiria kutengeneza faida. Kama hauna consistent clients hauwezi kutoa products zako hivyo hauwezi kutengeneza faida. Kwahiyo uwe tayari kuingia gharama za kuwavutia wateja ambayo wazungu wanaita 'client acquisition'.
2. Mimi nahisi kwa products zako soko la ndani lenyewe ni kubwa sana, nahisi bado haujafanya utafiti wa kutosha. Lkn again sio mbaya kuingia kwenye soko la nje kama upo tayari.
Mimi mwaka jana nilivuna vitunguu November, lkn soko la bongo lilikuwa ovyo mno mno. Ukienda Kkoo na Buguruni bei ni elfu 70-80 wakati kipindi kama hiko mwaka 2015 bei ilikua 180k. So nilichokifanya ni kuuza Kenya, nilienda kwa bus hadi Nairobi, nikakutana na madalali wakanipa dira na kila kitu. Baadae nilivuna na kuuza mzigo wangu Garissa krb na mpaka wa Somalia kusini mwa kenya mbapo niliuze kwa bei mara 3 ya iliyokuepo bongo.
Hapo msowero panafaa mana hakuna mvutano na wafugaji harafu kijiji kina huduma zote za jamii kuanzia umeme, barabara ya rami nkNi maeneo gani mkuu yanafaa kwa makazi ya kudumu na kilimo.
Yasiyo na wafugaji kuepuka( VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI)
Na reli ya TAZARA imepita hapo?
huwa inakuwaga kuanzia mwezi wa kwanzaasante msimu wa mahindi ni mwezi gani mkuu?
Mkuu kwa sasa sifukuzii tena grants, lkn kipindi wakati nipo hiyo stage nilikua napata info za grants kutoka hapa Opportunities For Africans | Connecting Africans to the Latest Life Changing OpportunitiesNice one.
How do you win the master card prize?!
You have seen my products. All I need are funds to take off. You have links for grants and sort?!
Thanks for your time.
asante mkuu ila msowero imepitiwa na reli ya Tazara?Hapo msowero panafaa mana hakuna mvutano na wafugaji harafu kijiji kina huduma zote za jamii kuanzia umeme, barabara ya rami nk
Laki 3 kwa sasa haitakufikisha sehemu boss, kama ungekuwa na vifaa say feeders, drinkers nk ungeweza kuanza na japo broilers 50. Napo faida itakua kiduchu sanaSamahani mkuu Mimi Nina banda tayari Lakini mtaji wangu Ni laki tatu
Je ?? Naweza Kuanza Kwa huo mtaji ?? Nakama naweza kuanza
Waweza Nishauri lolote ??
Duh sawa mkuu Matumain yangu yamekata sababuLaki 3 kwa sasa haitakufikisha sehemu boss, kama ungekuwa na vifaa say feeders, drinkers nk ungeweza kuanza na japo broilers 50. Napo faida itakua kiduchu sana
Unataka kuniuliza nini PM mkuu ambacho ukiniuliza hapa hautaelewa. Boss, ni watu wachache sana watapoteza muda wao kuwatoa ushauri wa kibiashara bure, hiyo tu ni msaada tosha achilia mbali motivation ya bure.Kaka Ongera Sana Mungu aendelee kukupigania kila nikisoma thread zako uwa naumia Sana najiona nimechelewa mno natamani ata nisimame Sasa hivi nifanye hiki na kile lkn too late, mbaya Zaid umekuwa mtu WA kutu-inspire tu kwa maneno nikikufata PM ata unielekeze wapi pa kuanzi unakua mgum.
All in all kaka kubali kubeba watu wachache ili huwe mwalimu watu tujisifu kufanikiwa kupitia mgongo wako.
Boss si lazima ufuge kuku, mpk sasa nimetumia karibia laki 2 kwa kila hekari ya mahindi (kutegemea mvua), na hesabu ni kuvuna kwa faida ya laki 4 kwa hekari - so nitarudisha laki 2 yangu na faida ya laki 4.Duh sawa mkuu Matumain yangu yamekata sababu
Vidole avilingani Uwezo wangu Ndio huo mkuu
Mbegu gani unapanda ( kwa maana ya breed ya Mahindi & Mpunga ) au ni local/ ya wenyeji ?Boss si lazima ufuge kuku, mpk sasa nimetumia karibia laki 2 kwa kila hekari ya mahindi (kutegemea mvua), na hesabu ni kuvuna kwa faida ya laki 4 kwa hekari - so nitarudisha laki 2 yangu na faida ya laki 4.
Jaribu kufikiria biashara gani unaweza kufanya kwa laki 3, mimi mtaji wangu wa awali haukuwa hata karibu na laki 3.
asante mkuu ila msowero imepitiwa na reli ya Tazara?
Maana nilikuwa napenda mji wa Moro wenye treni Dar to Zambia.
Ulio karibu na Njombe au Songea pia.
asante mkuu ila msowero imepitiwa na reli ya Tazara?
Maana nilikuwa napenda mji wa Moro wenye treni Dar to Zambia.
Ulio karibu na Njombe au Songea pia.
**Kutokuwa na taarifa sahihi - mtu anasikia biashara ya tikiti maji inalipa haswa, kesho anaingia shamba kulima tikiti, hajui chochote ye anawaza akivuna atapiga faida Milioni kadhaa.Ni kwanini wafanya biashara wengi wanafeli kibiashara?
mashamba huko ruvu chini bado yapo mkuu? maana nikikuita dogo unamind**Kutokuwa na taarifa sahihi - mtu anasikia biashara ya tikiti maji inalipa haswa, kesho anaingia shamba kulima tikiti, hajui chochote ye anawaza akivuna atapiga faida Milioni kadhaa.
**Mitaji ya kuunga unga - unakuta mtu ana mtaji mdogo lkn anataka afanye biashara kubwa ili apate faida kubwa, anaishia kuteketeza kile kdg alichonacho.
**Kutokujua principles za biashara kama uvumilivu - mtu anaanza biashara asubuhi anataka jioni aone faida. Au unakuta mtu kuyumbishwa kdg tu na upepo anaamua kuacha kabisa biashara.