Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Ontario hongera kwa ushawishi mzuri kwetu vijana wenzio,ila unanikera unapojiwekea mask wewe halafu wenzio unawarusha Bila ridhaa yao kwanini msijiwekee mask wote
 
Boss! We challenging status quo and breaking stereotypes. Trust me, niliwahi kuwa na kila kitu kinachohitajika kupewa mkopo, na financial statements zangu zilikua zinaprove naweza kuwalipa huo mkopo wao ht kabla muda haujafika, lkn CRDB walininyima mkopo kisa umri, nilikua nina miaka 21 wakati huo.
Nimekupata mkuu. Hongera sana na usichoke kushare ulichonacho, wapo watakaokupinga (hawawezi kukosekana) lakini wengi watapata faida.
 
Naomba msaada hapa ndugu yangu, maana mie nimepanda mahindi mabichi dodoma mwezi uliopita, bado sijatafuta soko japo naamini nitapata soko, je? Kuna dawa ama mbolea yoyote napaswa kutumia?
Boss kuhusu dawa hua tuna assume mahindi yakivuka magoti basi mashambulizi dhidi ya wadudu ni madogo sana, so hkn dawa tunatumia. Kwa uelewa wangu.

Pia mbolea inategemeana na ardhi boss, so nahisi hapo mpk uwe na vipimo vya maji na udogo. kitu ninachotumia Ruvu kinaweza kuwa tofauti na huko ulipo, mfn mahindi hapa Miono nimetumia urea tu.
 
Unajitambua na utafika mbali sana, jitahidi kujipanua kwenye sekta nyingine mapema zaidi, ili ujenge msingi mapema ila umejitahidi sana Hongera
 
Hongera sana mkuu.
jambo unalolifanya hapa la kutupa elimu ya bure tena yenye thamani ya hali ya juu ni kubwa sana. Mungu akuzudishie mkuu.

i wish kila mwana JF angeisoma hii thread.
 
Hongera sana mkuu.
jambo unalolifanya hapa la kutupa elimu ya bure tena yenye thamani ya hali ya juu ni kubwa sana. Mungu akuzudishie mkuu.

i wish kila mwana JF angeisoma hii thread.
Tuko pamoja sana boss wangu. Keep being awesome!! Cheers.
 
nawakaribisha watu wote wenye nia ya
mafanikio kwenye group langu la biashara kero na changamoto tunashauri kukabiliana Nazo atakayehitaji atanicheki 0759500807
 
mr ontario connection unaizungumziaje katika biashara ya aina yeyote, na n jinsi gan ya kutengeneza connection ya biashara yako, afu tunatambua soko ndo muhimil mkubwa kweny biashara yeyote ebu tuambie strategies za kutumia kuhakikisha unakua nasoko la kudumu la biashara tumia mfano ule wa kuku kutoa mayai trei 200 kwa siku, asante natanguliza shukrani kwa majib yako yenye ueled wa hal yajuu
 
Hata mm nikipata shamba ruvuma siwezi nikaliacha aisee. Mahindi ya huko ni hatari, yakijaga Dar hayo mahindi yanatibua soko vibaya mno.
Ninkweli mahindi ya Ruvuma garama za uzalishaji sio sana
 
Man!! My hustle is real since day 1. Niliosoma nao wanajua boss. Na hata leo nikisema niingie kwenye kiwanda cha kufanya refinery ya mafuta naeza choma kiwanda chote, maana hata sikumbuki chuo nilikua nasoma nini.

Pia kuna nguvu kubwa sana katika vitabu. These things look average, but they're mightier than you'd think.
kwa jibu hili..kaka Nimegundua kitu kikubea sana toka kwako....I know
 
mr ontario connection unaizungumziaje katika biashara ya aina yeyote, na n jinsi gan ya kutengeneza connection ya biashara yako, afu tunatambua soko ndo muhimil mkubwa kweny biashara yeyote ebu tuambie strategies za kutumia kuhakikisha unakua nasoko la kudumu la biashara tumia mfano ule wa kuku kutoa mayai trei 200 kwa siku, asante natanguliza shukrani kwa majib yako yenye ueled wa hal yajuu
Boss! Kua connected kwenye biashara ndio kila kitu, naeza sema hii ndio prime factor. Wenzetu wazungu wanapenda kusema "Your network is your net worth."

Na sisi ambao hatukubahatika kuwa na surnames za kiheshimiwa kutengeneza network ni ngumu sana. Yani leo hii wewe na riz1 wote mkipewa mil 10 mfanye biashara, ndani ya mwaka m1 jamaa keshakuacha mbali sana. Maana hata akisema anasupply pipi za ivory kwenye taasis za serikali anaeza hata kuuza pakti elf 20, wewe huku kitaa pakti unauza ef 3.

Ukianza biashara hautaelewa kila kitu in an eye blink. Ni pole pole, kadri unavyozidi kua kwenye game ndio unavyoelewa how it's done na ndivyo unavyozidi kukutana na watu wengi, hawa watu ndio connections zenyewe. Niseme kwa ufupi, kukutana na watu sahihi ndio njia rahisi zaidi ya kutengeneza network yako.

Hata kwenye masoko pia ni hivyo hivyo.
 
sio lazima uandike chochote.....watu tupo busy na thread hii na tunafanya ujasiriamali kama huu
nan kakataaaa humfanyi mkuu ? hebu give it a third degree though kama angejionesha anachokidai anafanya hamasa Yake ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom