babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sasa uende ukasome nini huku hujui kusoma wala kuandika,computer science huku hata kutype huwezi unataka ushauri gani?Ok but nimeuliza kiungwana Incase Kuna any mistake please ungeniambia mkuu
Zingatia masomo, achana na mademu na starehe.Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Anza kwanza kutengeneza phrases,heading yako ieleweke ili mtu ajue anaanza wapi kukupa msaada.Ok but nimeuliza kiungwana Incase Kuna any mistake please ungeniambia mkuu
"Jambo gani na gani" Ulisoma kiswahili vzr?Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Pumbavu wewe kwani advance ulitumia mbinu gani hadi kufika chuo? Uliiba mitihani? Basi na chuo iba uone kitakachokukuta.Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Thanks bro watu kama wewe hamkosekanagi una uhakika gani nipo diploma au bachelor not good at all jitahidi kutumia lugha nzuri kakaPumbavu wewe kwani advance ulitumia mbinu gani hadi kufika chuo? Uliiba mitihani? Basi na chuo iba uone kitakachokukuta.
Kijana achana na GPA, tafuta maisha, tafuta connection. Kuna watu wana za 5 na wanazurura tu na bahasha zao.Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Jiandae kujiuaNaomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
Wewe ingia tu na vibomu vya kutosha kwenye mitihani yako yote. Utakuja kunishukuru. Nchi imeshauzwa hii kijana! Shauri yako.Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?