Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Usituzingue bhana unatokaje CHAPUTA bila sababu za msingi? Sasa natoa tangazo. CHAPUTA wote tukutane kesho kwenye kikao.
 
"Ni lazima uweze ku control hisia zako usipoweza kufanya hivyo utakuwa mwanaume wa hovyo sana"

Asante sana hapa umezungumza jambo moja la ukweli na la maana sana hiyo quote imeamsha ari kubwa ya kutaka mabadiliko moyoni kwangu.

Be blessed [emoji120]
 
Jamani huyu mtu ni mgonjwa kama wagonjwa wengine anaomba ushauri mnaleta kejeli si sawa kabisa ,kama huna ushauri pita tu, waje wataalamu wa saikolojia watatoa suluhisho, wewe kama mzima shukuru Mungu,ila mimi naona hilo ni tatizo tena kubwa anahitaji msaada wa haraka sana.Hizo kejeli nendeni instagram hili jukwaa sio mahala pake.
 
kweli usemayo lakin hyo njia niliyompa ndo sahihi kwake
 
Aliekwambia kuangalia hzo mambo kuna ubaya nan..watu tunaangalia toka tuko primary had leo...hakuna mwanaume asieangalia hzo mambo kiongoz...ni vile ujicontrol usiwe regular.....

Yaan..punguza routine ya kuchek..labda kwa mwez mara moja si mbaya...

Tatzo lenu mnaskiliza sana maneno ya watu[emoji16]
 
Tatizo kwangu naangalia kila siku na kwa siku naweza kupiga nyeto zaidi ya mara mbili [emoji24]
 
1. Waza kuoa mke wa pili na watatu na wanne
2. Jilipue mwambie Baba/mama/ unapenda hako kamchezo
3. Waza ni wadada wangapi wanapenda uwape mimba na uwe serious kujenga familia ... wewee unaendekeza ayo mambo ili hali umemaliza chuo
4. Ivi umesoma chuo gani .... wakakulea ivoooo
5. Kuna jambo hujasemaaaaa liseme tukusaidieee
 
Wazo la kuoa lipo jikoni.
Siwezi waambia wazazi wangu vilevile siwezi kutaja jina la chuo nilichokisoma kwa sababu ya usalama wangu.

Jambo gani unahisi sijaliweka wazi?
 
Wengi wamemshauri jamaa awe bize lakini akiwa bize sawa akipata muda tu lazma atafanya tena na tena. Na nfo atakua muhanga zaid kwa kujifariji hafanyi mara kwa mara.

Iko ivi we jiamini kua unaweza kuacha anza kwa kupunguza rate ya kufanya kama wanavofanya wavuta sigara kama unafanya kila siku jibane ujitahidi kuruka siku kadhaa.

Endelea kuruka siku 2 2 hadi utajikuta unafanya mala moja kwa wiki mwisho utaona haina maana tena.
Nisikufiche ndgu nilikua muhanga pia ila njia iyo imenisaidia lakini mimi nilikua na manzi pia ko utamu niliokua naupata kwa bibie ni mala 2 zaidi ya nyeto.
Nilijenga uvumilivu ndani yangu mpaka nikaacha kabisaa na wala sitamani na izo video naona ni ushubwada na kujipotezea muda tu na kibaya zaidi ni kujiumiza kihisia na kujiletea majanga kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…