At first addiction is maintained by pleasure, but intensity of this pleasure, gradually diminishes, and addiction is then maintained by avoidance of pain.
Ikiwa inamaana kwamba unapoanza inakuwa kama starehe tu, lakini inaenda ikipungua na sasa unakuwa unafanya kama sehemu ya kuepuka maumivu, mwanzoni ulikuwa ukiangalia picha moja tu unaridhika lakini siku hizi bila ya kuangalia video 20 haujatosheka. Na usipo angalia hata usingizi unaweza usipate, unakuwa kama haujisomi,
Usiseme kwanzia leo naacha, alafu basi, akili yako inajua huyu kima ananidangaya kwanza ameshajaribu mara nyingi ameshindwa.
Nini cha kufanya
Mental toughness
Futa video zote kwenye simu/ au pc
Clear history kwenye browser.
Andika sehemu hivi.
Kuanzia Leo tarehe 03/03/21 na kwa maisha yangu yote yaliyobaki
Hata nisikie hamu ya aina gani
Hata nikae peke yangu ndani kwa miaka mingapi
Hata niwe na stress Hadi kichwa kipasuke
Hata nikose usingizi mwezi mzima
Sitokaa nipigie tena punyeto wala kuangalia picha za ngono.
Utashangaa unapata hobi nyingine kabisa
Kama kuangalia siries, video za youtube za vichekesho au maswala ya anga za mbaali, au hata kucheza game au kusoma vitabu.