Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Vuta bangi mwanagu utakuja kunishukru siku moja[emoji23]
Kubwa zaidi umaskini unagonga odi kwenye maisha yako..
Hiyo ni dalili moja wapo[emoji122]..
Soma vitabu vya uchumi na mafanikio ya watu..
Usipende kujikatia tamaa hakuna lolote gumu Duniani isipokuwa kifo.
 
"Umaskini unagonga odi kwenye maisha yako".

Hebu naomba unielezee vizuri zaidi katika hilo.

Asante
 
Njia gani nitumie kucontrol mind set?
Sasa we unataka uache punyeto halafu ufanye nini? Hujui hiyo ndio njia pekee salama ya kujiepusha na magonjwa kama corona, ngwengwe, homa ya ini nk? Achilia mbali gharama
 
"Nilijenga uvumilivu ndani yangu".

Narudia kila saa kusoma comment yako. Shukran sana.
Ndo ivo mkuu ni kujiendekeza na nililijua hilo kama kitu hupendi kwa nini ufanye??
Usipofanya nini kinatokea unakufa au unaumwa??
Ko ni kuvumilia tu hali unayoipitia kwa muda huo coz haikai muda mrefu
 
Usiuache uhondo wa Punyeto haswa kama wewe u bado mtoto mbichi wa only 26yrs ukifika arobaini labda uje uombe ushauri
 
Sasa hio ya porn aibandike ukutani mama yake mzazi akiiona je[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…