Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Mie naomba kuuliza, hivi hakuna mwanaume kuanzia 16yrs ......... hajawahi kufanya masturbation?
Naaamin wengi washawahi kufanya na bado wengine wanaendelea kufanya, lakini tatizo hapa ni je unaridhika na hiyo hali na upo tayari kubadilika?
 
[emoji109]
 
Shukrani sana mzee
 
Shukrani sana retired officer
 
Mkuu shukuran sana kwa ushauri wako. Maneno yako niya ukweli na yameugusa sana moyo wangu.

Shukrani sana and be blessed up
 
Uliyemwona ni mama mzazi tu, kwanini asikuweke wewe.

Tupeni akina mama heshima yetu mafala nyie.
Naomba samahani kwa kina mama wote kwa comment hii kwa niabaa ya aliyeitoa.

Naombeni mtusameheni bure sisi vijana wenu.
 
Ndugu sikumbuki ni lini nilipata ndoto nyevu, na jaribu sana kufikiria hapa mwaka gani sikumbuki lakini naamini nina zaidi ya miaka 3 sijapata ndoto nyevu [emoji24]
 
Mama yake anaenda chumbani kwake kufanya nini wakati huyu ni mtu mzima 26 years. Sio lazima abandike mahali mtu mwingine atakapoona hapana, Abandike mahali anapopajua yeye mwenyewe hata abandike chini ya godoro.
Shukrani sana
 
Mbona wengine nyeto fresh na Kwa dem fresh mm nais Muhim mwili kuwa imara tu, Lishe nzuri, mazoez ya kushughulisha mwili, unaweza fanya vyote kwa kias na ukainjoy life sema wengi wanakosea wanafanya kupita kias
Tatizo langu ni kwamba niko addicted hivyo basi nataka niache kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…