Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

[emoji120]
 
Hapana halijakushinda jitahidi tu utalishinda wewe
 
Piga mgalala mpaka unaenda kaburi maana ndio starehe yako uliyochagua

Anyway,inaonekana hauna kazi ya kufanya.
Unatakiwa ujishughulishe muda wote, usipate muda wa kupumzika na kufikiria mambo ya porn.
[emoji109]
 
Shukrani sana ndugu kwa ushauri mnzuri. Tayari nishaanza kuisha na leo ni siku ya tatu bila kufanya naaamini nitaishinda hii tabia kwani "nia" ya dhati kutoka moyoni ninayo.
 
 
Ni rahisi sana
1 badilisha simu tumia CMU isiweza kuperuzi .ni ngumu ila ni dawa ya mwanzo.2 hakikisha unaishi na MTU unayemuheshimu inawezekana akawa mke au rafiki.3 Fanya shughuli nyingi na usiku lala mapema.4lazima uwe na mpenzi maana sex nibasic needs.5 weka negativity ya jambo hilo kwani limeshainhia kwenye subconscious mind so kulitoa inabidi ulichukie.6 soma vitabu vya dini ili hofu iwepo.6 ni siri juu ya siri ndio siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…